Hivi MPAKA mtu unakua na mtaji wa kuwekeza Bilioni 600, mabroo mnaokota wapi mbesa... ?

Hivi MPAKA mtu unakua na mtaji wa kuwekeza Bilioni 600, mabroo mnaokota wapi mbesa... ?

Nenda kalale wewe kapuku usinibabaishe mwenyewe unajiita mjusi..huku kwetu madongoni tunawabana mijusi milangoni ama tunawapika na kuwala
Ebo! kumbe ni mtu wa hovyo kabisa, namana kwenu njaa ni mbaya mnashindwa hata kununu kipande cha nyama mnakaa mnatafuna mijusi.
 
Once laws of physics za isaac newton LAWS OF MOTION pia unaweza kuziapply kwenye life and some how zinaweza fanya kitu coz zinaeleza ili kuwepo na mwendo nini kifanyike ,mpaka kitu kisogee kuwe na nini ,motion twatafasiri kama success ama proggressiveness , let me show you


First law of motion by isaac newton'everything remain in state of uniform motion unless external force acted upon it'inasema kila kitu kitabaki kuwa kama kilivyo katika hali ileile mpaka nguvu nyingine kutoka upande wa pili ikiamishe ndo kitasogea ,hata kwenye life ,maisha yako yatabaki kama yalivyo kama uweki jitihada za kuyapush kama unaamini ktk mung katk sucess mwamini yeye na kama unaamin in dark force ndo itakuwa source ya sucess zako, then believe na kama unaamini katika jitihada zako pambana ,mfano jiwe likiwa aridhini litabaki palepale hata zaid ya miaka 10000 mpaka uliamishe ndo litahama

Second law,acceleration of a body is depend on mass and force applied to body,ili kitu kisogee au kipige hatua inategemeana na uzito na nguvu husika,ili ufanikiwe au ili upige hatua in life inategemea jitihada zako unazowekeza, muda na ukubwa wa mafanikio unayotaka

Third law,for every natural action theres equal and opposite reaction ,nguvu ya upande mmoja inapotumika kwa ukubwa jua kuna nguvu ya upande mwingine ambayo ni kinyume huwa ina jitokeza,biidi unazoziwekeza leo na mda unaowekeza leo kesho ,kesho kutwa huleta nguvu ambazo ni bahati ,ustawi,mafanikio,kukuwa,kun gara,kutambuliwa,kustawi ,,,unapaswa jua tyu kuwa punje ya maize unapo ipanda shambani huwa ni moja lakini inapoota uzaa muhindi ambao hubeba mamia ya punje,. Tunachofanya leo huzaa matokeo makubwa na inatokana na matenso yetu ya every day

Karma, inasema when goes around comes around ,matendo tunayotenda leo ni matokeo ya kesho

Pia karma inasema ,karma pays off yaan karma inalipa ,becareful with what you doin today nigga ,kama hapo juu nilipotolea mfano wa muhindi mamoja huzaa mamia na mamia huzaa maelfu na maelfu huzaa mamia elfu n.k so kiwa makini na desicions unayomade today plus matendo yake ,panda mema uvune mema

Pia mafanikio sio ku work hard, pia usisahau kusaidia wengine na kuwa inua wengine, hii kitu tunaita phylanthropy tunaamini ktk maajabu ya pesa (money mystic) the more you give the more you receive ,usione matajir wanatajirika ukajua ni biidi tu hapan ,unavyotoa kitu chako kidogo iili kuinua wengine kiuchumi ndivyo unavyozid barikiwa na mungu..

Acha kulala na wanawake tofautitofauti hii hupunga nguvu ya uatawi mwili coz kusex kunasababisha two peoples kishare energies,ikiw mmoja ana nuksi na wewe unapata kimavi

Punyeto ina punguza nishat ya mafaniko na hustaw na mpiga chaputa ni ngumu kugain sucess
Kwa nini mpiga nyeto ni ngumu ku_gain success!?
 
Nmejiuliza sana hili swali muda huu nikiwa napata chai na vitumbua +maharage mahali

Eti mtu anawekeza mahali bilioni 600, mtu anajenga jumba la bilioni 10, mtu ana drive gari la bilioni 20...tupeni basi connection dah ...
Kuna kitu kinaitwa Bank,hakuna mwekezaji wa kweli anatumia pesa yake binafsi labda wezi wenye connection na CCM
 
mkewangu acha wivu

hakuna ufisadi wowote tunaofanya bali tunatumia akili na ujanja zaidi kumiliki mali
Mambo bibie 😋, unajua kwa nini sisi tumetafuta pesa kwa njia ya ufisadi?

Kwa sababu bila pesa ninyi mabinti vimbaumbau na chuchu saa 6 huwa hamtukubali sisi wazee wenye mvi na vipara pasipo pesa kutumika. That's it 😎.
 
Nmejiuliza sana hili swali muda huu nikiwa napata chai na vitumbua +maharage mahali

Eti mtu anawekeza mahali bilioni 600, mtu anajenga jumba la bilioni 10, mtu ana drive gari la bilioni 20...tupeni basi connection dah ...
Hakuna gari la biliioni 20 acha utoto.
 
Yaani baby Leo nataka uniingizie yote kunduni, yaani nakuambia Kuna kitu kinaniwasha!
Hivi wife hiyo michezo umeianza lini? Hivi unadhani Mimi nafanya huo upambavu ya kukoroga mbolea?

Nisubiri nyumbani narudi na talaka yako maana umeanza upumbavu kama wa machawa wa CCM.
 
Nmejiuliza sana hili swali muda huu nikiwa napata chai na vitumbua +maharage mahali

Eti mtu anawekeza mahali bilioni 600, mtu anajenga jumba la bilioni 10, mtu ana drive gari la bilioni 20...tupeni basi connection dah ...
Wanaokoto toka kwenye kodi zenu hatagengenezi wala kutafuta. Wanahomola na kuhondomola.
 
Back
Top Bottom