BUNGE LA WANANCHI:
KAMATI YA AFYA NA USTAWI WA JAMII
TAMKO KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA BIMA YA AFYA KWA WOTE (2022)!
“Mapungufu Makubwa ya Muswada Huu, Tahadhari na Ushauri Wetu kwa Taifa”
I. UTANGULIZI
Ndugu Waandishi wa Habari; Kama mlivyosikia, Serikali imepeleka bungeni Muswada wa...
Uchumi, mila, dini, desturi na huduma zetu za afya haviruhusu kutoa Bima ya afya kwa wote. Matibabu ni hitaji la nne la binadamu nyuma ya hewa, maji na chakula (Maslow's). Jiulize je, jamii yote inapata hewa, maji na chakula? Kama jibu ni bado basi bima ya afya kwa wote ni kitendawili.
Uchumi...
Nasikiliza hapa mkurugenzi wa Bima ya Afya NHIF (Benard); Kaulizwa hivi, Mtu akistaafu inakuwaje?
Kajibu kuwa kwa Mtumishi wa Uma ataendelea kupatiwa huduma. Mtangazaji hakuwa makini kumuuliza na kwa mtumishi wa Secta Binafsi inakuwaje? shame!
Yaani kwa mfano; Raia mmoja aajiriwe...
Mimi kama Mtanzania ninayeishi kijijini kwanza naipongeza serikali kuja na MUSWADA wa Bima ya Afya kwa watu wote ni Jambo jema ktk kunusuru afya za watu wake. Changamoto ninayoiona hapa ni hizi gharama za kila mwanachi mwenye familia ya watu sita kuchangia 340,000. Huu ni mzigo mkubwa na ni...
Wizara ya Afya, imetoa ufafanuzi wa maswali yaliyokuwa yakiulizwa mara kwa mara na wananchi kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii kuhusu muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote.
Muswada huo umeshafikishwa Bungeni na Oktoba 19, Kamati ya Kudumu ya Bunge Huduma na Maendeleo ya...
HIFADHI YA JAMII NDIYO MWARUBAINI WA BIMA YA AFYA KWA WOTE; MUSWADA WA BIMA YA AFYA NI WA KUTUPILIWA MBALI!
Ndugu Waandishi wa Habari,
A. Utangulizi:
Muswada wa sheria ya ‘Bima ya Afya Kwa Wote’ uliwasilishwa Bungeni rasmi tarehe 23 Septemba 2022 na unatarajiwa kuanza kujadiliwa katika ngazi...
Hivi karibuni, Rais Samia Suluhu alisema serikali itapeleka mswaada wa Bima ya Afya bungeni ili uweze kujadiliwa. Wakati mchakato huo unaendelea Serikali kupitia Wizara ya Afya imependekeza viwango vya kulipia kwenye Bima.
Prof. Makubi amesema uchangiaji unaopendekezwa ni Sh. 340,000 kwa kaya...
Serikali imekusudia kuanzisha Bima ya Afya kwa wote Kwa kuitungia Sheria kuwa lazima.
Na kwa Mujibu wa Waziri wa Afya, Bima itaambatanishwa na huduma zingine kama leseni nk.
Aidha kutakuwa na vifurushi vya Bima na mtu atalazimika kuchangia pesa kwa lumpsum kiwango atakachochagua.
Sasa binafsi...
Sina hakika kama wananchi wengi huwa hawaugui, ila ninachofahamu ni kwamba wananchi maskini walio wengi hutibiwa kwa akina Mwamposa, kwa waganga wa kienyeji au hunywa tu mwarobaini.
Hivyo Bima ya Afya kwa wote itaimarisha afya za Watanzania kwa sababu wote watatibiwa hospital kwa huduma za...
Waziri wa Afya ametoa kauli hiyo leo ikiwa ni siku chache baada ya Serikali kuwasilisha Muswada wa Bima ya Afya kwa Wote Bungeni na kueleza kuwa hakuna mtu atakayepigwa faini kwa kutokuwa na Bima hiyo.
Amesema lengo la serikali ni kuwapunguzia mzigo wananchi kwenye matibabu na si lazima...
Habari guys,
Hizi tozo sjui znafanya nini. Bima ya toto afya imeondolewa; hivi mama Samia anatonaje? Inapaswa tupate chama kingine kituongoze. CC mimi basi tena.
Muswada wa sheria ya bima ya afya kwa wote umesomwa bungeni kwa mara ya kwanza mwezi Septemba, 2022.
Kwa mujibu wa kifungu cha 32, muswada huo umeweka zuio la upatikaji wa baadhi ya huduma muhimu kwa wananchi pasipo kuwa na bima ya afya.
Inasomeka
Zulo la kupata haadhi ya huduma pasipo kuwa...
Serikali jana iliwasilisha Mswada wa Bima ya Afya kwa Wote (UHI) 2022 Bungeni ukitoa masharti ya lazima kwa watu kujisajili katika mipango ya bima ili kupata huduma kadhaa za kijamii.
Muswada huo pia unatambulisha Mamlaka ya Udhibiti wa Bima Tanzania (Tira) kama mdhibiti mkuu aliyepewa jukumu...
Muswada wa Sheria ya Bima ya Afya kwa Wote umewasilishwa bungeni ambapo mwajiri wa sekta ya umma na binafsi rasmi atapaswa kumsajili mwajiriwa katika skimu ya bima ya afya ndani ya siku 30 tangu kuanza kwa mkataba wa ajira.
Muswada huo uliosomwa kwa mara ya kwanza leo, Ijumaa Septemba 23,2022...
Andiko hili limechochewa na habari ya kujinyonga kwa mwanajeshi William Chacha Giriago huko Dodoma, na malalamiko ya wastaafu wa Jeshi la Wananchi Tanzania ambayo yako kila siku, kuhusu wao kukosa Bima ya Afya.
JWTZ linajinyumbulisha kuwa lina hospitali pande zote, kuweza kutoa huduma kwa...
Mheshimiwa Rais, naomba upokee maoni haya kuhusu NHIF.
Ili kufikia lengo la afya kwa wote na pia kuwa na NHIF stable, ni vema kila raia wa Tanzania mwenye NIDA hadi watoto wasajiliwe na kuwa wanachama wa NHIF. Michango ya NHIF iwekwe kwenye mfumo wa TOZO kwenye bidhaa kama umeme, maji na mizigo...
Wanabodi,
Katika kipindi hiki ambacho Shirika la Bima ya Afya Tanzania (NHIF) linafilisika, ni vyema kufahamu jitihada zinazo chukuliwa na serikali kuhakikisha kwamba watanzania walio jiunga na mfuko huu wanaelendea kupata huduma.
Kwanza kabisa tujaribu kuangalia athari ya shirika hili...
Hadi sasa kuna kampuni nyingi za bima ya afya nchini ikiwemo NHIF. Cha ajabu, katika mazingira sawa ya kibiashara licha ya NHIF kuwa na upendeleo wa kuwa na wanachama wengi kuliko kampuni zote za bima nchini kwa kujaziwa wanachama lukuki kutoka serikalini na taasisi za serikali, ni NHIF pekee...
Waziri amesema wagonjwa wa saratani wanaopata tiba za mionzi kwa Bima ya NHIF mwaka 2015/16 zilikuwa Tsh. Bilioni 9 na hadi kufikia mwaka 2021/22 gharama za malipo zimefikia Tsh. Bilioni 22.5, ongezeko ambalo haliendani na idadi ya wanachama wa NHIF.
Ameongeza kuwa huduma za matibabu ya figo...
Wabunge walitaka huduma za Urembo na "Massage" zijumuishwe kwenye Vifurushi vya Bima za Matibabu yao ambapo Tume ya Huduma za Bunge (PSC) imekataa na kuwataka kutumia fedha zao wenyewe kupata huduma hizo.
Hata hivyo, Wabunge hao watapata Bima ya Tsh. Milioni 206 ikijumuisha na familia zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.