Nimesikitishwa sana na taarifa za kuungua kwa soko la Kariakoo.
Hasara iliyopatikana ni kubwa mno, haswa ikizingatiwa kuwa wafanyabiashara wetu hawana elimu ya kutosha ya bima, hivyo huwa hawakati bima, ni wachache Sana wenye kufanya Jambo hili.
With wangu kwa serikali hasa wizara ya elimu...
Mheshimiwa Rais Samia Suluhu alitanabaisha mapema kuwa wataalamu wa afya wahakikishe kuwa muswada wa bima ya afya kwa wote unaenda bungeni haraka.
Nichukur fursa hii kama mwanamtandao wa kijamii kuwashawishi tena Wizara ya Afya chini ya mama Gwajima kiharakisha utekelezaji wa zoezi hili.
Ni...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Khamis Hamza amesema wanaopata ajali au madhara katika Chombo cha Moto ambacho Fidia yake husimamiwa na Sheria ya Bima wanapaswa kulipwa.
Ameeleza hayo baada ya Mbunge Rita Kabati kusemi abiria wengi wanaopata Ajali wamekuwa wakisumbuliwa na wamiliki wa Bima...
Mwanariadha wa kimataifa, atakaeiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya Olimpiki Japan mwaka huu Alphonce Felix Simbu ameshinda mbio za BIMA Marathon 21K kwa muda wa (1:02:09), naye mwakilishi pekee wa kike wa mashindano ya Olimpiki Failuna Abdi Matanga ameshinda mbio hizo kwa muda wa (1:16:52)...
Wana JF,
Leo nlisimamishwa na traffic, akakagua kioo na kukuta sina stika ya BIMA, alivyoniuliza nikamwambia BIMA nshakataa mtandaoni, na kwenye system ya TIRA MIMS inaonyesha gari tayari nina BIMA.
Ila kilichonishangaza zaidi ni kuwa huyu jamaa aliniandikia faini, kosa langu ni KUTOKUBANDIKA...
Habari wadau..
Gari limeisha bima leo na niko bush hakuna ofisi za kampuni za bima.. nataka ninunue online kwa sim banking..
Ila najiuliza sticker naipataje? Maana kesho narudi mjini sitaki usumbufu wa traffic njiani
Habari Wana JF,
Kwa Jina Naitwa Steven Naishi Ilala Dar es salaaam namiaka 24 Pia ni Kijana mchapa Kazi mwaminifu kwa kila majukumu nayofanya, Katika swala langu la kielimu nimehitimu level zote ikiwemo O level, Advanced level na kwa sasa ni kijana naehitimu elimu yang yangu chuoni nikiwa...
Hivi karibuni kulikuwa na changamoto iliyojitokeza na kukwamisha shughuli za Watu wengi kwa kukosa umeme.
Shirika la Umeme na Kampuni za Simu/Watoa huduma za Luku, waanzishe Bima ya token/unit ambapo Wateja watakuwa wananunua unit(token) za akiba zitakazohifahiwa kwenye akaunti zao na pindi...
Inavyoelekea ile ahadi ya CCM na CHADEMA katika chaguzi mbili zilizopita inayohusu bima ya afya kwa wote ikapigwa danadana nyingine baada ya mjadala wa sasa kuibuka kwenye chanjo ya corona na msimamo wa Gwajima.
MY TAKE;
1- Wizara ya Afya iharakishe kuleta muswada bungeni utakaopelekea Sekta ya...
Shirika letu la Bima (NHIF) limechangia kuua Huduma za Afya katika kulipa Madai ya Hospitali zetu kwa kuchelewesha kulipa kwa wakati, ambapo hospitali zote nchini zimekuwa zikilamika kuchelewesha malipo hayo ili ziweze kununua dawa,vifaa tiba na kulipa uendeshaji wa hospitali
NHIF imekuwa na...
Hello wana Jamii Forum,
Nafikiria kuanzisha biashara ya uwakala wa bima aina zote hapa Dar es Salaam na ikiwezekana na mikoa ya jirani.
Sina utaalamu sana ila nilifanya kazi kidogo kwa hizi kampuni. Nahtaji ushauri kwa wenye experience nazo changamoto za biashara, faida na kila kitu kwenye...
Dkt. Oscar Kikoyo Ishengoma amesema Sheria ya Bima hususan kwenye makosa yanayotokana na ajali za barabarani ina matatizo makubwa.
Amesema, "Ukisoma hii Sheria, ajali inapotokea barabarani Jeshi la Polisi watapima, Kesi itapelekwa Mahakamani Hukumu itoke kisha Mhanga aiambitishe ili kwenda...
NHIF NI KILIO KINGINE CHA WATUMISHI
Kwanza nianze kwa kuishukuru serikali kwa kuanzisha huduma za bima kwa njia ya bima yaani NHIF ambapo watumishi umma kwa LAZIMA hukatwa bima ya afya bila chaguo la aina ya bima, nashukuru kwa sababu inatusaidia tofauti na kutoa hela zetu mfukoni hata kama...
Iwapo bunge letu litajikita kwenye kujadili hoja basi tunayo hoja ya msingi sana ya kuijadili.Hoja hiyo inahusu bima ya afya kwa watanzania wote yaani universal health insuarance coverage.
Tanzania lazima ijikomboe na kujitegemea katika sekta ya afya. mfumo bora wa afya unategemea matofali ya...
Habari wana JF
Baada ya kupata rufaa ya JAKAYA kutoka Bugando nilifika Jakaya na kuendelea na vipimo pamoja na matibabu.
Vipimo vimeonesha anatakiwa kufanyiwa operation na Bima inacover gharama zote, changamoto umeonekana kuwa tatizo limechelewa kugundulika hivyo kwa operation hii ingefanywa...
Habari wana JF, na poleni kwa msiba pia.
Mwanangu mwenye miezi 10 kaonekana ana shida ya moyo na madakitari wa BUGANDO wamesema suala lake lipo serious inabidi kupewa rufaa ya Taasisi ya Moyo ya JAKAYA.
Hivi Bima ya mtoto itasaidia gharama zote za matibabu na Operation?
BAADHI ya wanawake wenye watoto chini ya miaka mitano wilayani Shinyanga, Mkoani Shinyanga, wasio na bima ya afya ya CHF, wamelalamika kunyimwa matibabu ya watoto wao kwa kukosa kadi hizo.
Wamepaza kilio hicho kwa nyakati tofauti kwenye sherehe wanawake wilayani Shinyanga iliyokuwa na lengo la...
Ukweli ni kwamba majanga ya moto kwenye makazi ya watu ni janga ambalo linagharimu sana maisha ya watu hapa nchini kwetu. Ajali za moto zimekuwa zikitokea na kugharimu maisha si tu ya wanafamilia lakini pia kusababisha uharibifu wa mali ya mhusika aliepata ajali na majirani zake.
Mwisho wa siku...
Waziri wa afya mh Gwajima amesema muswada wa Bima ya afya kwa wote utawasilishwa bungeni hivi karibuni.
Waziri Gwajima amesema baada ya sheria ya Bima ya afya kupitishwa basi wananchi wote wataingizwa katika utaratibu huo na hivyo kuwapa uhakika wa tiba.
Source TBC
Maendeleo hayana vyama...
Sijui niseme nini kwa wale wazazi mlio na watoto wa chini ya 18yrs na hamjawakatia BIMA bei ya bima ya mtoto ni 50,400 tu kwa mwaka mzima,mtoto anatibiwa kwa BIMA ugonjwa wowote utakaokatiza mbele yake.
Kwann nasema hivi, nina mwanangu wa kiume umri wake wa kwenda mfanyia...