bima

  1. Suley2019

    Mbeya: Jeshi la Polisi lamkamata wakala wa bima ya GTM baada ya kukumta mihuri 56 ya kughushi ya idara za serikali na ofisi binafsi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia ABRAHAM OBEDI [55] wakala wa bima ya GTM na Mkazi wa Isanga Jijini Mbeya akiwa na mihuri hamsini na sita [56] ya idara mbalimbali za serikali na ofisi binafsi ambayo imeghushiwa na kuhifadhiwa katika ofisi yake ya Stationaries. Mtuhumiwa alikamatwa...
  2. Makanyaga

    Makonda atoa bima ya afya kwa watoto 625

    MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amegawa kadi za bima ya afya za Mfuko wa Jamii (CHF) kwa watoto yatima na waishio kwenye mazingira magumu 625. Akizungumza wakati wa kutoa bima hizo, Makonda alisema anatoa zawadi ya sikukuu za Christmas, mwaka mpya na Maulid baada ya kubaini...
  3. N'yadikwa

    Je, Bima ya afya inakubali kipimo cha CT Scan?

    Wanabodi naomba kufahamu Bima ya Afya inalipia gharama za CT Scan? nina mzee wangu anaugua ila ana bima sasa nilitaka kupata kufahamu kama bima ina cover. Je, kwa Dar es salaam ni hospitali gani?
  4. Greatest Of All Time

    Anaitwa Roma: Wimbo mpya wa Roma Mkatoliki

    Roma Mkatoliki amerudi upya jamani. Ametoa wimbo mpya unaitwa "Anaitwa Roma". Ni Roma yule tuliyemzoea enzi za Mrisho akitamba na vibao vyake matata. Je Basata watauacha huu wimbo? Utafute mapema kabla hawajauchukulia hatua. Katika wimbo huo mimi nimependa mstari fulani hivi unasema; "Kwetu...
  5. elivina shambuni

    Wakulima wa Pamba Simiyu kupata huduma ya Bima ya Mazao msimu wa 2019/2020

    Shirika la Bima la Taifa (NIC)linatarajia kuanza kutoa huduma za bima ya mazao kwa wakulima wa pamba katika Wilaya ya Meatu na Maswa Mkoani Simiyu, ambapo wakulima watakuwa na uwezo wa kukata bima katika zao la pamba itakayomkinga dhidi ya majanga ukame,mvua zilizozidi kiasi , mafuriko, moto...
  6. D

    Tambua aina za bima na faida zake

    Bima ni mkataba wa kulipa fedha katika shirika la fedha ili kupata fidia wakati mlipaji anapofikwa na ajali au hasara fulani au kurejeshewa fedha zake pamoja na faida baada ya muda maalumu. Bima ya gari hutosheleza gharama ya gari lako kama likiharibika au likiibiwa. Bima ya nyumba (bima ya...
  7. Informer

    Bima ya Afya Tanzania: Kampuni bora na zenye changamoto katika kuhudumia wateja wake

    Wakuu, Zipo kampuni nyingi zinazotoa huduma za Bima ya Afya nchini lakini zote zina mazuri na kasoro zake. Mjadala huu unalenga kuzichambua kampuni hizo na kuangalia packages walizo nazo, benefits na changamoto za bima/kampuni husika. Nawakaribisha kwa mjadala ili tuwasaidie wale wanaotafuta...
  8. BASIASI

    TRA tokeni maofisini kakagueni magari, mengi Mjini hayajalipiwa na mengine yana sticker za bima fake

    Wakati muafaka kuendelea kumsaidia Mh. Rais atimize yale aliyopàngiwa na Mungu. Ndugu zangu TRA tokeni maofisini nenden mitaan mkakague magari mengi yako mtaani yamekwepa kulipa kodi tena wakishirikiana na baadhi ya wafanyakazi wenu wasio waaminifu. Tuamke sasa kumsaidia Rais. La pili, kuna...
  9. PAN OCEANIC INSURANCE

    PAN OCEANIC INSURANCE BROKERS IS LOOKING FOR AGENTS ALL OVER #TANZANIA

    OPPORTUNITIES PAN OCEANIC INSURANCE BROKERS IS LOOKING FOR AGENTS ALL OVER #TANZANIA We are an established business with a rich 18-year history, focus on modernizing insurance sales and customer service by providing our team with the best and most up to date technologies Be your own boss and...
Back
Top Bottom