Wadau habari blue Monday. Naenda kwenye hoja.
Nilikuwa na IST ya 11,500,000. Nilipigwa na Ice tarehe 10/10/2019. bima nilikata ya tarehe 08/07/2020-07/07/2020. Claim amount imesoma 15,800,000 na payable ni 9,000,000.
Katika michakato hii, je, hii gari nimali ya bima au inabakai kuwa yangu?