Nimeshtuka kuona waafrika wana hizi mindset.
Yaan yupo radhi aachie dili ya mamilioni kisa tu uliyeleta hiyo dili ni mtu binafsi!!
We manager ni zero brain kabisa!!
Najua huu uzi utausoma
NB: Nadhan angekua ni mwenye kiwanda asingefanya huu ujinga
Ndugu jama na marafik nipo mbele yenu kuomba Kaz ya udereva
Nafanya kazi ya udereva
-gar ya nyumbani
-gar ya tasisi yoyote
-gar ya tx mtandao Uber bolt
Nina uzofu wa mwaka Moja na nusu sasa
Naomba ushirikiano wenu kwenye kulifanikisha hili
Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi inatoa haki mbalimbali kwa mhusika wa taarifa binafsi ili kuhakikisha faragha na ulinzi wa taarifa zake. Haki hizi ni pamoja na:
Kufahamishwa kuhusu ukusanyaji na madhumuni ya ukusanyaji wa taarifa hizo.
Kukataa kutoa taarifa binafsi ikiwa mkusanyaji...
Wakuu ukigoogle utaona huko mambele hii ni biashara ya kawaida kabisa.
Kwa hapa kwetu sheria zikoje?. Je, sheria zinaruhusu mtu binafsi kuwa na mochwari binafsi?
Naomba mwenye abc za uhalali wa biashara hii, mchanganuo wa mahitaji n.k atuwekee hapa.
Binafsi nampongeza Aziz ki Kwa kupata jiko, ila Nina haya
1. Wazee wanasema kuwa anayeona laZima aulize,
Sina uhakika kama kijana wetu Aziz ki aliuliza na kuchakata kuhusu mkewe.
Au alikutana na machawa wakamjaza akajikuta ameingia cha kike.
Nadhani Kwa maisha ya football ingekuwa njema akapata...
Ilifahamika na kuonekana bayana tangu mwanzo, kwamba kiongozi mpya wa chadema hana maono wala mipango madhubuti ya kuendesha chama kwa mipango mikakati maalumu ya kiuchumi na kujitegemea kama vyama vingine vya siasa,
Tazama sasa,
Maelezo marefu kwa muda mrefu kumbe dhumuni na agenda ilikua ni...
Katika kasi ya mabadiliko ya mtaala niliona shule binafsi kama chachu kwa sababu ya uwezo wa kuweka miundo mbinu kwa ajili ya kuisaidia serikali ila kwa mazingira haya naona giza.
Siandike kuweka data ila kwa uzoefu wa miaka minne ni udhibitisho tosha.
Unanyanyasaji wa walimu, baadhi ya shule...
Habarini wana jamvi.
Kutokana na vijana wengi waliopata nafasi za kuajiriwa kwa mikataba ya muda maalum katika mashirika binafsi hujikuta kuendelea kuomba nafasi sehemu zingine huku wakiwa bado wapo katika mikataba yao ya awali.
Binafsi nimejikuta nimesomea fani ya Ujenzi nikiwa chuo as a...
Kuharibu nyaraka zinazohusiana na taarifa za kibinafsi, kama vile kiatambulisho cha NIDA, cheti cha kuzaliwa, taarifa za benki, taarifa za kadi ya mkopo, stahili za malipo, au risiti, ni muhimu ili kuhakikisha kuwa taarifa zako binafsi haziangukii mikononi mwa watu wasiostahili kuziona. Hii pia...
Igweeee wananzengo,
Leo napenda ku-share uzoefu wangu na moja ya kampuni binafsi za bima ya afya hapa Tanzania ambayo walikataa kabisa kulipia matibabu ya mke wangu, ikiwemo upasuaji, huku wakitoa sababu ambazo zipo kinyume kabisa na mkataba wangu kati yao.
Pia, nilipojaribu kuwasiliana nao...
Je, mafanikio ya elimu hutegemea ada kubwa ya shule au mshikamano wa familia katika kukuza juhudi binafsi za mtoto?
Swali hili linaibuka mara nyingi, hasa tunapojadili tofauti kati ya shule za English Medium na zile za kawaida, maarufu kama Saint Kayumba. Wakati wengi wanaamini ada kubwa na...
Kuna watu wanamiili mikubwa
Muonekano hamna
Elimu hamna
Nawao wanagombania kazi za restaurant, supermarket,dukan,sheli,
Sasa endelea kuchagua sana kazi wakati waajili wanataka watu wanaojua wao watawaongezea thamani ya duka kwa muonekano
Wewe mwenzangu namm mwenye sifa hizo hapo juu usichague...
Katika hii Dunia Jambo lililo Bora ni kua na Nguvu Kiuchumi, au Kuna Free Economical, hili swala ltakufanya uwe huru na Kuishi kwa Amani sana.
Nguvu ya Kiuchumi ni Bora katika Maisha.
Watu walio Wengi wanaishi kwa mashaka kwa sababu ya uchumi ila unapokua huru kiuchumi mambo yanakua safi kabisa.
Salaam na heshima kwako Mh Waziri Elimu Prof Mkenda.
Awali ya yote nawapa pongezi sana kwa jitihada zenu kuboresha elimu tangu msingi hadi sekondari..hongera sana awamu hii pongezi kwa Mama Samia.
Wazazi tuna malalamiko hasa kwa shule binafsi za bweni shulw msingi na sekondari....kwa nini...
CHANYA
Maji- Kwa mara ya kwanza tangu kuwekwa historia ya dunia majinsafi yaliletwa mtaani kwetu.
COVID 19. Nilikuwa na msimamo wa kuovaa Barakoa maana niliamini Covid 19 haipo. Msimamo wake uliungana na wangu iliniondolea usumbufu mkubwa hasa kwa wale wanaopenda magonjwa na habari za kufakufa...
Nimekuwa shocked na maelezo ya Mbowe yakionyesha kumbe kwa muda mrefu amejua watekaji na wauaji ni nani, kwamba kilikuwa kikosi maalumu kilichoundwa na serikali kwa madhumuni ya "amani na usalama", kikijumuisha Polisi, TISS na JWTZ. Na hata ameeleza kwamba baadae JWTZ walichukua uamuzi wa...
Mimi ni machine operator katika kampuni binafsi ya wahindi (the box factory limited, kisarawe 2,kigamboni), kusema ukweli tunaonewa sana huduma mbovu, usalama mdogo.
Pia kuna kipindi wanakuja TUICO lakini wanaishia kwa meneja mwajiri wanachukua rushwa wanasepa mimi kama mkereketwa nina iomba...
Anonymous
Thread
binafsi
huduma
huduma mbovu
mbovu
rushwa
sekta
sekta binafsi
wafanyakazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.