Chadema wana furaha, wana tabasamu usoni mwao, je nini wanafurahia!? Kula asali ni kuongea maneno ya busara, sasa Chadema wanaongea mambo ya busara na kutenda kwa busara, je wanakosea? Amani ndiyo msingi. Je, Chadema wameacha harakati zao kutaka kushika dola, ndio hawana dhamira ya kushika dola...