bingwa

Geng Bingwa (Chinese: 耿冰娃; pinyin: Gěng Bīngwá; born January 3, 1994) is a Chinese figure skater. She won the silver medal in 2008 and 2011 at the Chinese Figure Skating Championships, and reached the free skate at five International Skating Union Championships.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Asante MO , Bingwa wa mikakati nje ya uwanja. Kesho Simba inampiga mtu goli za kutosha.

    Ushindi wa Simba kesho ni uhakika kwasababu moja tu. MO NI BINGWA WA MIKAKATI NJE YA UWANJA. Kuna taarifa nzuri sana kuwa tayari ameshamalizana na wachezaji waliokwenda kuzitumikia timu zao za taifa, hivyo kamati ya ufundi ilitumia furusa hiyo kuwafuata hukohuko kwao DRC, Mali, Burkina Faso...
  2. M

    Mdogomdogo maji na mafuta yanaanza kujitenga, Yanga anacheza mechi zake kibingwa na ndiye bingwa mtarajiwa!

    Wenye uelewa na Mpira watakuwa wamenielewa ninachomaanisha, siku zote timu yenye tabia za kuchukua ubingwa uwa Zina viashiria Fulani Fulani vya kutwaa ubingwa! Viashiria ivyo yanga anavyo kwa 100%, yanga amekuwa awezi kudondosha point kizembe ata kama mechi imewakalia vibaya lazima waondoke na...
  3. mdukuzi

    Yanga akizifunga timu zote zinazofadhiliwa na GSM atakuwa na point 36 kibindoni,Yanga Bingwa

    GSM wana akili sana Waliifadhili Yanga kutangaza magodoro yao. Wakafadhili timu ndogo kutangaza Yanga. Walitaka kufadhili ligi kuu eti Simba na timu zote zivae jezi ya GSM, Simba wakasema mkifanya hivyo tunahamia ligi ya Burundi au Zambia TFF wakaufyata. Wanayo familia kubwa sana, nusu ya...
  4. L

    Bodi ya Ligi kama mmepanga Yanga awe bingwa Mara Mia msisumbue watu

    Lile ni bao dhahiri, kama Yanga ndio wangefungwa halaf ndio kichwa kile wamepiga wao lazima ngoma ingewekwa kati, Yanga wasifungwe au kutoa sare wao nani
  5. Petro E. Mselewa

    Ngao ya jamii: Klabu Bingwa imejitenga na Shirikisho

    Michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika na ile ya Shirikisho ni michuano miwili tofauti. Klabu Bingwa ni michuano mikubwa zaidi. Tanzania itawakilishwa na Yanga na Azam kwenye michuano hiyo mwaka huu. Kwa upande wa Shirikisho, tutawakilishwa na Simba na Coastal Union. Ilivyo bahati, Azam...
  6. Lady Whistledown

    Nani Bingwa wako wa Kushoot katika Olimpiki

    Kati ya Mastaa wa Olimpiki waliotikisa Vichwa vya Habari ni Mturuki Yusuf Dikec na Mkorea Kim Ye-ji katika Mashindano ya Kulenga Bunduki ambao wote walishinda Medali za Fedha Kim Ye-ji, amekuwa miongoni mwa Wanawake waliovutia Mashabiki wengi, amesifiwa si tu kwa ujuzi wake, bali pia mtindo...
  7. GENTAMYCINE

    Nimeshangaa sana Bingwa na Makamu wao wala hawana Mbwembwe, ila wa Nyuma yao ndiyo wana Mbwembwe zinazotia Shaka mbeleni

    Yaani Mwanafunzi aliyekuwa wa Kwanza pamoja na Mwenzake wa Pili katika Darasa Wao wala hawana Shobo na Mbwembwe ila yule aliyeshika Nafasi ya Tatu ndiyo anasumbua Darasani kiasi kwamba Walimu wanajiuliza hivi ingetoa Yeye ndiyo kawa wa Kwanza au wa Pili si angeshangilia Shule nzima na pengine...
  8. The Supreme Conqueror

    Kagame Cup: Maombi yangu Red Arrows awe Bingwa ili lengo lao la Dar Kagame Cup ife rasmi kwani Rwanda ni Puppet wa US,UK na France yule mkimbizi JWTZ

    Kagame Cup: Maombi yangu Red Arrows awe Bingwa ili lengo lao la Dar Kagame Cup ife rasmi kwani TAzara na Tazama ni muhimu zaidi kuliko wao, Rwanda ni Puppet wa US,UK na France yule mkimbizi JWTZ wamalize mchezo.Watoto wa St Petersburg nani awafute machozi? Ni kheri kumuenzi Keneth Kaunda na...
  9. Uwesutanzania

    Utabiri wangu AZAM bingwa 2024/2025

    Azam bingwa 2024/2025 Msimamo mwisho wa msimu 1 Azam Fc 78 pts 2 Young African Sc 78 pts 3 Simba Sc 70 pts 4 Singida black stars (Ihefu. 14 Pamba pts 25 15 Kmc pts 24 16 Mashujaa 20 Mfungaji bora (Young African Kipa bora (Azam
  10. B

    SoC04 Bingwa wa Masuala ya Umma alitoa Ushauri wa Kukuza Uandishi wenye Tija nchini Tanzania kwa kutumia Akili Mnemba

    UTANGULIZI Mnamo tarehe 30 Juni 2024, Bingwa wa Masuala ya Umma alitoa ushauri muhimu kuhusu njia za kuongeza matumizi ya Akili Mnemba katika kuchochea uandishi wenye tija kwa maslahi ya umma katika miaka 5-25 ijayo na kujenga 'Tanzania Tuitakayo'. Mtaalamu alisisitiza kuwa kwa kufuata mikakati...
  11. TUKANA UONE

    Simba wakimpa thank you CHAMA ndio nitaamini wako serious na Mabadiliko, tofauti na hapo YANGA BINGWA 2024/2025

    Hizi kelele za Thank You ni kama zimemponya Mangungu, vipi ndugu zangu tuwape muda au bado libeneke liko palepale? Ngoja kwanza nicheke kikatuni Teh teh teh teh teh teh teh! Huyu mchezaji huwa anadhihakiwa sana na mashabiki kwamba kachoka na anaichomesha timu kwenye mechi muhimu! Sasa...
  12. GENTAMYCINE

    Uongozi wa Simba SC nitengeeni Bilioni 2 tu kisha mtumeni Mtu aniltee hapa Kampala niwafanyieni Usajili wa kuwa Bingwa wa Makombe yote 2025

    Nina Jicho la Kuona na Kumjua Mchezaji kuliko Injinia Hersi na mkinipa hizi Hela nawasajalieni Wachezaji wangu Saba ( 7 ) wa Kimataifa niliowaona Watatu niko nao hapa hapa Kampala Uganda na Watano wako Afrika Kusini, Congo DR, Ivory Coast, Zambia na Angola. Kwa Wachezaji wa Ndani nitawasajilia...
  13. Smt016

    Je, Azam wamedhamiria kuchukua nafasi ya Simba Klabu Bingwa au wanatuzuga tu?

    Ukiangalia namna viongozi wa Azam na wachezaji wake wana hali ya usimba na uyanga mle. Kitendo cha Azam kufungwa goli tatu na Simba kulileta tafsiri ya aina yake kwasababu Azam walihitahi tu point moja kwa Simba ili kujiwekea uhakika wa kucheza klabu bingwa ila cha ajabu tuliona jinsi Azam...
  14. MAKANGEMBUZI

    Boston celtics bingwa NBA 2023/2024.

    Na mchambuzi wa mchongo Mnyunguli Yes nawaona mbali Celtics msimu huu wakienda kubeba hii ndoo baada ya kitambo kirefu cha miaka 16,mara ya mwisho kutwaa ubingwa huu ilikuwa 2008 dhidi ya Los Angeles Lakers wababe wa jimbo la Calfonia kwa series ya 4-2. Celtics na Lakers ndiyo mabingwa wa...
  15. Teko Modise

    EPL: Makombe Mawili Yaliyofanana yatapelekwa kwenye Viwanja vya Emirates & Etihad katika michezo ya leo ya kuamua nani awe bingwa

    Bodi la Ligi Kuu ya Uingereza (EPL) wameamua kupeleka makombe mawili yanayofanana katika viwanja viwili vya Emirates ambapo utapigwa mchezo wa Arsenal Vs Everton. Kombe la pili litapelekwa kule Etihad ambapo kutakuwa na mchezo wa Man City Vs West Ham. Sambamba na hayo pia, watapeleka medali 40...
  16. Mhafidhina07

    Yupo wapi bingwa wa ulozi?

    Ni miezi takribani 2 sijaona andiko lolote kutoka kwa Mshana Jr vipi, mwenye taarifa atugaie. Huyu mtu tunaye au hatunaye?
  17. Ileje

    Yanga Bingwa 2024

    Bado mechi tatu za NBC Premier league kumalizika Yanga Bingwa. Kinachofuata Yanga watakuwa wanacheza mechi zilizobaki kama wanafanya mazoezi!
  18. Dalton elijah

    Mary Moraa bingwa wa Dunia, atwaa tena taji la Diamond League

    Mary Moraa ambaye ni bingwa wa dunia na Jumuiya ya Madola mbio za mita 800, ametwaa taji la riadha za Diamond League duru ya Doha nchini Qatar. Bingwa huyo wa Kenya ambaye ni afisa wa polisi, katika mbio za mita 400 na mita 800, aliweza kukamilisha mizunguko miwili kwa dakika moja na sekunde...
  19. NALIA NGWENA

    Hizi ndiyo timu kutoka Africa zitakazo shiriki michuano ya FIFA klabu bingwa dunia

    kwa bara la Afrika zimeingia timu nne tu katika michuano ya klabu bingwa dunia, michuano hii ipo chini ya FIFA Al ahly kutoka nchini Misri Wydad kutoka nchi ya Morocco Mamelody sowndowns kutoka nchi ya south Africa Esperance de tunis kutoka nchi ya Tunisia NB: Kuna timu kutoka Tanzania...
Back
Top Bottom