Wala haihitaji akili nyingi kuona hili,timu inajituma uwanjani, unaona kabisa wana kiu na ushindi! Wachezaji kila mmoja kwa nafasi yake anatimiza majukumu yake.
Yanga sports club watachukua ubingwa mpaka wachoke wenyewe..kama timu nyingine hazitabadilika.Sio kama huku kwetu tumejaza "mafaza"...