bingwa

Geng Bingwa (Chinese: 耿冰娃; pinyin: Gěng Bīngwá; born January 3, 1994) is a Chinese figure skater. She won the silver medal in 2008 and 2011 at the Chinese Figure Skating Championships, and reached the free skate at five International Skating Union Championships.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    Kwanini nasema na najiamini Argentina anaenda kuwa Bingwa wa 2022 QATAR FIFA WORLD CUP tarehe 18/12/2022?

    1. Wanacheza Kimkakati zaidi kama Simba SC 2. Wana Wachezaji Wapambanaji kama wa Yanga SC 3. Wana Golikipa Bora sana 4. Messi anawarahisishia Kazi Wengine 5. Wana Morali ya Kiuzalendo hasa 6. Argentina ni Timu ya Mungu 7. Lionel Messi hakabiki na Kabarikiwa Nami MINOCYCLINE namalizia kwa...
  2. BARD AI

    Mzaha mzaha mara Morocco Bingwa Kombe la Dunia, nyie wachukulieni poa tu!

    Wiki iliyopita Morocco waliotengeneza historia ya kuwa Taifa la kwanza Afrika kuingia nusu fainali ya Kombe la Dunia. Hatua hiyo imeifanya Simba wa Atlas kutengeneza historia ya soka lakini sasa inaisubiri Ufaransa katika nusu fainali. Morocco wamebakisha mechi mbili tu kunyakua kombe la dunia...
  3. A

    Morocco ndiye Bingwa Kombe la Dunia (TV kienyeji)

    Kwa niaba ya Wa-Morocco weusi hapa Ikwiriri nafurahi kuwatangazia hadhara hii ya hapa Tungekinya kuwa Morocco Hana mpinzani. Na ndiie Bingwa Kombe la dunia 2022 toka ardhi takatifu Al Arabiya Qatari. Source:TV Kienyeji.
  4. Achoki

    UTABIRI: Uingereza ndiye bingwa Kombe la Dunia, 2022

    Habari, kama kichwa kinavyojieleza! Mwaka huu bingwa wa Komne la Dunia ni Uingereza kwa vigezo hivi viwili vya kiimani; 1. Mara nyingi bingwa wa Euro au mshindi wa pili wa Euro huwa anachukuwa Kombe la Dunia linalofuata. NB: Siyo mara zote. 2. Ukifuata mtiririko huu wa waliochukuwa kombe...
  5. GENTAMYCINE

    Nikiwa nasema Simba SC kuna Tatizo, Mgunda siyo Kocha na Yanga SC Bingwa tena Msimu huu muwe mnanielewa sawa?

    Leo katika Uzi huu nawaomba wale Mashabiki Mbumbumbu ( Fools ) wa Simba SC ambao kila mara GENTAMYCINE nikianzisha hapa Threads za Kuyasema yanayoitafuna Simba SC yetu ( yangu ) huwa Wananishambulia waje tena na leo waniambie je, yale ambayo Malaika Mimi wa Kizanaki, Kitutsi na Kimakuwa...
  6. M

    Narudia tena na tena mechi za mikoani ndizo zitakazoamua bingwa kwa mara nyingine

    Nafikiri tunaanza kuelewana mdogo mdogo, Yanga mikoani kavuna alama 18 mechi 6, Simba mikoani kavuna alama 5 mechi 3, kadondosha alama 4. Mzunguko wa kwanza Yanga atakuwa kacheza mechi 8 viwanja vya mikoani na Simba atakuwa kacheza mechi 5 viwanja vya mikoani, kwa maana hiyo mzunguko wa pili...
  7. Execute

    Simba kama hatutasajili wachezaji wa maana Januari basi turuhusu Yanga acheze nafasi yetu makundi ya CAFCL

    Mwaka huu tulipata bahati ya kupangwa na timu rahisi kwenye hatua ya mtoano hivyo tukafuzu hatua ya makundi. Kama tungekutana na timu kubwa kiasi basi tungeshatolewa kitambo. Bila kufanya usajili wa maana ni bora tuwape Yanga wacheze hatua ya makundi CAFCL na Azam aende CAFCC. Tuache mzaha...
  8. technically

    Brazil au Argentina mmoja bingwa Kombe la Dunia

    Naiona kabisa Brazil Au Argentina wakichukua Kombe la Dunia kwasababu moja tu, timu nyingi za Ulaya huwa hazina bahati sana zinapocheza Kombe la Dunia nje ya Ulaya. Ukindoa hiyo hoja mwaka huu, Brazil wana kikosi kinachokaribia kile cha mwaka 2002 ingawa siyo kwa asilimia kubwa. Pia Argentina...
  9. BAKIIF Islamic

    Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

    Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano...
  10. L

    Primi Mushi aendelea kudhulumu familia ya Bigwa

    Primi Mushi amechukua kwa nguvu nyumba ya familia ya Bigwa iliopo Mugabe njia panda ya kwenda Mawasiliano kulia ukitokea Shekilango yenye fremu wanauza nguo na kuwapa mikataba mipya wapangaji wote, waliogoma wameondolewa na mabaunsa akidai hela yake kwamba gorofa la K/Koo halijatosha kufidia...
  11. Equation x

    Bingwa wa 'software' anahitajika

    Habari wakuu? Nahitaji mtu anayeweza kutengeneza software ya 'animation', yaani ya kutengeneza 'video' za katuni. Hiyo 'programme' iwe na angalau sifa hizi:- Iwe ni rahisi kutumia Iweze kutumia lugha mbili kiingereza/kiswahili Iweze kutengeneza 'character' wa aina yoyote 'Back ground' iwe...
  12. T

    Ukiwa kama mshabiki wa Simba ni timu gani ungependa Simba ikutane nazo katika makundi ya klabu bingwa Afrika?

    Binafsi napenda tupangiwe kundi moja na Wydad Ac Al hilal Coton sport de Garoua Je wewe ungependa tukutane na timu gani?
  13. A

    Msaada Daktari bingwa wa moyo kwa watoto

    Habari wakuu, Msaada tafadhali kwa anayefahamu daktari bingwa wa moyo kwa watoto (cardiologist). Naomba mawasiliano yake au jina na hospital anayopatikana. Natanguliza shukrani.
  14. T

    Haya sasa twende kwenye klabu bingwa ya Africa tukimtegemea Phiri, Bocco na Kyombo kutuvusha. Nadhani wachezaji na mashabiki wamefurahi sasa.

    Moja kwa moja kwenye mada!! Nimekaa natafakari na kuwaza kuwa tunaelekea kwenye Champions league round ya kwanza tukitegemea uwezo wa strikers kama Phiri,Bocco na Kyombo kutuvusha huku tukimwacha Striker wa kiwango cha juu ndugu Dejan Georgijevich kuondoka!! Hivi Bocco na Kyombo ndio wa...
  15. T

    Osama El-labi ni bondia mzuri na anahitaji makocha wazuri tu ili kuja kuwa bingwa wa ndondi hapa nchini.

    Habari Jana usiku nlifuatilia mpambano kati ya emiliano patrick na Osama el-labi,kwa hakika nimevutiwa sana n kipaji cha huyu bondia chipukizi.Osama ametuonesha sisi wapenzi wa ndondi kuwa atakuja kuwa moja ya mabondia wazuri hapa nchini. Wito wangu ni kwa wadau wa ndondi kuweza kumpatia...
  16. Shark

    Wapinzani wa Simba Queens Klabu Bingwa Africa hawa hapa

  17. Poker

    Leo rasmi UEFA champions league inaanza rasmi mapema sana tujuane taja bingwa na semi finalists

    Watakaoingia semi finals ni man City, Barcelona, PSG, na Real Madrid. Bingwa wangu atakuwa PSG YA KYLIAN MBAPPE. Nawasilisha
  18. Mohamed Said

    Uso Kwa Macho na Bingwa wa Kutafsiri Qur'an Sheikh Mselem bin Ali

    USO KWA MACHO NA BINGWA WA KUTAFSIRI QUR'AN SHEIKH MSELEM BIN ALI Leo katika uzinduzi wa kitabu cha Sheikh Ponda Issa Ponda, ''Juhudi na Changamoto,'' Peacock Hotel nilibahatika kukutana na Sheikh Mselem bin Ali mwisho wa shughuli. Miaka 10 imepita toka tuonane Zanzibar na sikuweza kumuona kwa...
  19. Rubawa

    Ijue historia ya soko kuu la Kariakoo

    Neno ‘KARIAKOO‘, asili yake ni neno la Kiingereza la ‘Carrier Corps’, likiwa na maana ya kwamba mahala hapo ndipo inapomalizikia misafara iliyokuwa ikiwasili kutokea nje ya hapa mjini, wakati huo wa utawala wa Wajerumani na Waiingereza. Misafara hiyo ilihusisha askari pamoja na wapagazi...
  20. Swahili AI

    Ahmed Rashad Ali bingwa wa propaganda za ukombozi wa Afrika

    1931 Cup Central Government School Mnazimmoja Waliosimama kuanzia kulia: 1. Amour Muhammed Al Barwani 2. Muhammed Abdulla Al Ghassany (marehemu Baba) 3. Saleh ( Baba yake alikuwa akiuzwa Haluwa) 4. Muhammed Abdulla Salim Al Barwani 5. Unknown 6. Saleh Awadh Al Hadhramy 7. Unknown 8. Muhammed...
Back
Top Bottom