binti

Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.

View More On Wikipedia.org
  1. Binti miaka 19 afariki siku yake ya kuzaliwa akiwa geto kwa mpenzi wake

    Polisi huko Lang'ata, Kenya wanachunguza tukio ambalo Faith Momanyi, binti mwenye umri wa miaka 19 aliyemaliza kidato cha 4, alifariki kwa kutatanisha nyumbani kwa mpenzi wake baada ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa. Faith inaripotiwa kuwa aliondoka nyumbani kwa wazazi wake, na katika kundi...
  2. Binti sayuni, can you be mine please??

    Binti Sayuni03 maneno yako ni mithili ya upepo mwanana unaovuma kwa utulivu, ukigusa kila kona ya mawazo yangu. Kuna haiba isiyoelezeka katika jinsi unavyoandika, hisia zinazopenya bila hata kujaribu. Si mara zote mtu hukutana na upekee wa namna hii—ule mng’ao wa nyota ya jioni, wa kuvutia...
  3. B

    Nimemwambia binti ambaye ni jirani yangu haina maana "kunyimana" sisi ni kitu kimoja amechukia!

    Wakuu, poleni na pilika Sasa, kuna binti ambaye ni tunaishi nyumba moja, Huwa anavaa khanga moja anapita akaniona tu anapita anatikisa mzigo sio poa, wengine anapita amevaa amejizinga vizuri tu Ila akiniona anavaa "nusu ngozi nusu nguo""🥶 👉Ni mzuri wa maumbiko amejaa haja nyuma sio poa Sasa...
  4. Kila nikikumbuka aibu niliyoipata sitamani tena hata kuonana na yule binti

    Siku hiyo nilienda msibani ambapo nilifiwa na mjomba wangu, sasa kama unavyojua kwenye msiba ndugu mbalimbali hukutana. Na siku hiyo alikuwepo ndugu yangu ambaye alikuwa ni binti mrembo sana na tunafahamiana na kiukweli huwa namtamani sana. Wakati shughuli za mazishi zimekamilika, tukabaki...
  5. Anayetuhumiwa kumbaka, kumchoma binti wa Miaka 17 kisha kusababisha kifo chake, akamatwa

    Jeshi la Polisi Mkoani Arusha linamshikilia mtu mmoja aitwaye Emmanuel Charles (25) mkazi wa wilaya ya Arumeru kwa tuhuma za mauaji ya binti mmoja (17) ambaye jina lake limehifadhiwa mkazi wa wilaya ya Arumeru na Mkoani humo. Akitoa taarifa hiyo leo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna...
  6. HATUA ANAZOPITIA BINTI WA KISASA KUTOKEA USICHANA HADI UTU UZIMA

    Zifuatazo ni hatua ambazo mabinti wa kisasa a.k.a watoto wa 2000 wana possibility kubwa kupitia kwasababu hata dada zao watoto wa 1980’s na wa 1990’s wamepitia tayari na sasa wanalipia hesabu yao ya kukengeuka kama wendawazimu. UMRI KUANZIA MIAKA 16 HADI MIAKA 26. Hii ndio stage nyeti na...
  7. Hivi Sungura anataga Mayai au Anazaa? Nimeulizwa na binti aliyetoka kufanya Usaili wa ualimu hivi karibuni

    Leo mida ya mchana wife akiwa anatoka kanisani alikuwa ameongozana na binti muhitimu wa chuo cha ualimu. Hapa nyumbani nimefuga sungura wapo watatu nimenunua hivi karibuni baada ya madogo kuwapeleka kwa mfugaji mwenzangu wakawapenda sana nikaamua kuwanunulia .Muda ule walinikuta nahangaika...
  8. Binti kuwa na subira atakuoa, ni kero kumkumbusha kila baada ya miezi 6 kwa jambo aliloahidi

    Binti kuwa na subira atakuoa, ni kero kumkumbusha kila baada ya miezi 6 kwa jambo aliloahidi. Si kashasema ATAKUOA? Punguza kiherehere cha kila baada ya miezi 6 kukumbusha jambo lililo kwenye mchakato tayari.
  9. Ndoto na matamanio yangu ni kuona Binti yangu anakuwa Mama bora na Mlezi mzuri wa familia yenye

    Binafsi naamini purpose kuu ya mwanamke katika dunia hii ni kuwa mama bora wa familia yenye furaha na Amani. Mimi ndoto na matamanio yangu ni siku moja nimuone mwanangu wa kike akiolewa kwa wakati sahihi na mtu sahihi, awe mama bora na mlezi bora wa familia yake, hiyo ndiyo itakuwa furaha kuu...
  10. Ndoa ilimpa kilema cha maisha binti

    Sehemu 1 Naitwa Mamujee, ni mzaliwa wa Musoma. Sijabahatika kusoma sana, niliishia kidato cha pili sababu ya kukosa mtu wa kunisomesha pindi tu nilipofiwa na baba yangu. Mama yangu alifariki kitambo sana tangu nilipokuwa darasa la nne. Baba yangu alipofariki tu, mimi nikachukuliwa na shangazi...
  11. Kama mzazi, binti yako ndio amekuja kukuambia kuwa amepata mchumba, ni swali gani la kwanza utamuuliza binti yako?

    Karibu mzazi wa mwanamali na mzazi wa mwanamali mtarajiwa.
  12. Kumbe mlikuaga mnakula misaada ya Marekani alafu mkija humu JF mnawaita mashetani mara sijui firauni, etc 😂

    https://youtu.be/ShzDBSbPbm4?si=F3MM9-KNiFf54Oqm
  13. K

    Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

    hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa. Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli. Pia soma - Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili
  14. Hakimu anamuuliza huyu binti, "kwa nini ulimuacha huyu kijana?", binti anajibu "i thought he was too nice" ila wanawake, duuh🤣🤣

    "i thought he was too nice" Yani binti anamaanisha kuwa hakupendelea jinsi jamaa alivyo "good boy" /simple/ sio machachari. Mimi nilivyokuwa naambiwa hivi nilijuaga labda ni utani ila ni kweli wanawake wengi hawapendi good and honest guys, wanakuwa wanakudharau sana ukiwa hivi Fantasy yao huwa...
  15. B

    Kozi ya Nursing and Midwife

    Habari waungwana. Samahani wapendwa naomba mnisaidie binti yangu amepata Division IV ya point 27. Kwa ufaulu huu Civics D, His F, Eng D, Chem D Biol C Kisw C Marh F Mtoto anapenda kusomea Mambo ya Nursing and Midwife. Kwa ufaulu huo anaweza akapata chuo km sivyo ni kozi gani nyingine ya...
  16. Tumsaidie Binti huyu,majeraha yake yanaumiza,yanaliza

    Crala Wilfred Kimath (21)yupo chini ya uangalizi wa madaktari wa mifupa kwenye Hospital ya Rufaa ya kiKanda ya KCMC baada ya kujeruhiwa vibaya sehemu mbalimbali za mwili katika tukio linaloacha maswali mengi kutokana na mazingira ya tukio lenyewe. Binti huyu ambaye ni yatima baada ya wazazi...
  17. B

    Serikali imsaidie binti huyu alie katika hatihati ya kuacha masomo ya Chuo kikuu Kwa sababu ya kuponzwa na Shule za private

    Kazaliwa 2003. Chekechea na Primary: Shule ya English Medium... O- level : Private Advance : Private. Kafika chuo kanyimwa bumu( boom) Hajawa allocated. Heslb wana mzungusha tu . Wanasema kanyimwa mkopo Kwa sababu Heslb wali estimate kwamba mzazi wake ana uwezo WA kumlipia ada ya Chuo...
  18. Barua ya Wazi kwa Binti Ambaye Hujaolewa

    Barua ya Wazi kwa Binti Ambaye Hujaolewa Mpendwa Binti, Salamu za upendo kutoka kwa mtu anayejali ustawi wako wa kiakili, kihisia, na kijamii. Naandika barua hii si kwa kukufundisha, bali kwa kushirikiana nawe mawazo ambayo yanaweza kukuimarisha katika safari yako ya maisha. Kwanza kabisa...
  19. Binti anatafuta kazi ya pharmacy, yupo Dar

    Binti mwenye umri wa miaka 20 Ana Certificate ya Pharmacy ame-postpon mwaka wa tatu wa dimploma anatafuta kazi ya Ufamasia yupo Dar Namba 0781239520
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…