.
Soma kisa hiki Cha (Bint wa mfalme)
Mfalme alitangaza kuwa anahitaji kijana ambae atamuoa binti yake, mfalme alikuwa akihishi uko milimani kwahiyo vijana walipewa taarifa kuwa Mfalme anamuoza bint yake kwa kijana jasiri.. Vijana wakaanza kupambania kombe.. ila sharti ilikuwa moja tu...