“Wanameremeta, wanameremeta”, sauti za akina mama zilisikika na vigelegele vilisikika hapa na pale. ‘’Shosti yetu kashauaga umaskini’’ Nyemo aliwaambia wasichana wenzake aliosimama nao huku akimuonyeshea Sapora na Dakute ambao walipanda gari kuelekea fungate. ‘’Cheki gari lile! Kuna usafiri na...