Wadau, mnakumbuka nilileta uzi kuhusu binti aliyekwenda nchi za Kiarabu kufanya kazi? Sasa hivi, kuna jambo limetokea na nipo njia panda.
Kwa kifupi, mimi kwao sijulikani vizuri, wazazi wake wanaamini mimi ni bwana wa mtoto wao, lakini ndugu zake wanajua ukweli. Juzi tarehe 11, binti alinipa...