Ndefu kidogo....
Leo acha niseme kidogo kuhusu dada zetu tuseme Betina aka Tyner.
Picha linaanza akifika Dar, ngozi halisi inaanza kuonekana. Kumbe hakuwa mweusi tii bali ni rangi ya chokoleti. Maji ya chumvi, vipodozi, misosi flani, sabuni na mafuta anayoanza kupaka. Kombinesheni yote hii...