Heri ya krismasi wakuu!?
Twende kwenye mada moja kwa moja,
Mimi ni Mwanafunzi wa chuo fulani bora sana cha afya hapa nchini,
Kuna siku nilikuwa natoka kusoma, kujiandaa na UE(University Examination),sasa wakati natoka class,nikakutana na binti kavaa ushungi, rangi yake kwa mbali kama Muarabu...