Pole kwa kuhangaika maeneo mbalimbali kwa muda mrefu sana ukinitafuta,
kipenzi na mume wa maisha yako huyu hapa amepatikana,
ametoka kwa Mungu.
karibu sana faragha iko wazi.
uliemtarajia na umpendae anakusubiria kwa hamu.
usinung'unike, kujuta na kuhangaika tena,
maombi yako ya muda mrefu...