Planet Open School ni taasisi inayochojihusisha na utoaji wa elimu kwa wale wanaojiendeleza kielimu.
Taasisi hii inahitaji mwalimu wa biology na chemistry mwenye uwezo wa kufundisha kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita.
Mwalimu atakuwa na vipindi vitatu kila week kwa kila somo. Baada ya...
Habarini za mchana,
Naomba msaada wa mawazo juu ya hii kozi hapo juu nimechaguliwa UDOM, nikisoma hii kozi kuna uwezekano wa kuwa mwalimu wa Biology au inahusika na nini hasa nje na ualimu.
Habari wadau,
Mimi ni mwalimu kwa taaluma, nimesoma bachelor of science with education (Chemistry &Biology) nimehitimu mwaka 2017.
Niko kitunda ilala Dar-es-Salaam. Nahitaji kama kuna MTU anashida ya kusoma chemistry au biology hasa advance (japo o-level pia mnakaribishwa) naomba tuwasiliane...
Jamani tunaomba msaada wa kuwapata watanzania wahitimu Master degree in Physics, Chemistry, Biology and Maths kufundisha undergraduates, Stella Maris Mtwara Univ. College. First degree awe amesomea somo hilo, mfano chemistry, biology etc.
Awe ana mimimum GPA ya 3.5 @ 1at degree & 4 @ M. Sc...
Hello wakuu wa JF,
Mimi ni kijana niliehimu mwaka 2018 (Bachelorof science with Education Geography and Biology) nimekuwa nikitafta nafas za kufundisha private schoos bila mafanikio!
Kwa sasa natafuta mtu wa kufanya naye partnership mwenye uwezo wa kufungua Tuition Centre ili kwa makubaliano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.