Nianze kwa shukrani , nimshukuru Rabuka,
Yeye ni mwenye auni, tena mwingi wa baraka,
Nguvuze zapita kani, haziwezi elezeka,
HONGERA MAMA SAMIA 63 KUTIMIZA.
Mengi alikujalia , wete tumeshuhudia
vema umesimamia, kwa upendo kadilia,
sifa Tunampatia, Muumba wa hidunia,
HONGERA MAMA...