birthday

A birthday is the anniversary of the birth of a person, or figuratively of an institution. Birthdays of people are celebrated in numerous cultures, often with birthday gifts, birthday cards, a birthday party, or a rite of passage.
Many religions celebrate the birth of their founders or religious figures with special holidays (e.g. Christmas, Mawlid, Buddha's Birthday, and Krishna Janmashtami).
There is a distinction between birthday and birthdate: The former, other than February 29, occurs each year (e.g., January 15), while the latter is the exact date a person was born (e.g., January 15, 2001).

View More On Wikipedia.org
  1. Stroke

    Happy Birthday to me Next week i am turning another decade

    Wakuu, Next week! That is Next year!! It's very very big for me. Natimiza muongo mwingine. I am so happy I feel so blessed! Much love.
  2. Annie X6

    Eti suprise unimwagie maji. Kisa birthday yaani nitakuvunja mbavu

    Hii tabia siipendi. Nani kasema ni kumwagiana maji, mambo ya kubatizana yanaanzia wapi.
  3. Anna Mwaigomole

    Happy Birthday Dada Mkubwa Heaven Sent!

    Naamini hunijui. Na mimi nakiri kuwa sikujui. Hatujuani! Lakini zamani wakati sijajiunga JF ulikuwa unaandika sana hasa kuhusu ushauri wa kimahusiano, malezi ya watoto, familia, mambo ya kiroho; na maisha kwa ujumla. Mwaka 2018 au 2017 (sikumbuki vizuri), nilisoma comment yako moja hivi...
  4. Mahondaw

    Happy birthday cocastic

    The day is finally here shostie. Have loads of fun and more happy days of joy . Let your life be filled with health love strength success and passion. Wish you more years of happiness and wonderful experience cocastic . Happy birthday cocastic
  5. Mr Beast

    Tunasheherekea Uhuru wa Tanzania, hakuna kitu cha kisheria kinaitwa Tanganyika

    Haraka haraka na kwa ufupi sana, April 26 mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar walifunga ndoa kisheria na kila April 26 ni anniversary ya Tanganyika na Zanzibar,hapa tunakubaliana wote, Kwenye ndoa wenza hasa mke hupendelea kutumia baadhi yamajina ya mume na hili kisheria linakubalika...
  6. BARD AI

    UPDATE: Watumishi waliomwagiana Maji ya Dripu wakisherehekea 'Birthday' wasimamishwa Kazi

    ============= Serikali iemanza kufanya uchunguzi kuhusu video inayosambaa mtandoni ikiwaonyesha watoa huduma za afya wakisherehekea siku ya kuzaliwa kwa kumwagiana majitiba maarufu ‘dripu’. Akizungumza na Mwananchi leo Jumapili, Desemba 3, 2023 Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Nagu...
  7. Msanii

    Happy Birthday Msanii🌷🌼🌻, lakini unanikera aisee

    Happy birthday kwako (kwangu) Msanii Leo umetimiza miaka kadhaa tangu uanze kupumua juu ya ardhi hii ya wadudi. Natumaini umejifunza mengi na kuona mengi kwenye dunia hii hii ambayo ni nzuri kwa wachache na shubiri kwa wengi. Ombi lako (as birthday wish) kwa uongozi wa JamiiForums kwamba...
  8. Fabian Vitus

    Happy birthady

    Kwanza kabisa nashukuru Mungu kwa kuendelea kunipa zawadi hii ya uhai maana Sina cha kumlipa zaid ya maombi na Sala kwake🙏🙏 ✍️Kama Uzi unavyojieleza kama WWE ni mmoja wapo umezaliwa tarehe kama hii Mwezi kama huu Mwaka kila mtu anajua wake naomba tujipigie makofi Maana Mungu Ameweza kutufikisha...
  9. BARD AI

    Meja wa Jeshi la Ukraine afariki kwa kuripukiwa na Bomu alilopewa kama zawadi ya 'Birthday' yake

    A Ukrainian major has died after he was accidentally blown up by a grenade given to him as a birthday present.⁠ ⁠ Hennady Chastyakov was killed as he showed the gift to his teenage son at home on Monday, officials said.⁠ ⁠ It was initially thought that the 39-year-old had been killed by a...
  10. Mwande na Mndewa

    Happy heavenly birthday Hayati Rais John Pombe Magufuli

    Siku kama ya leo miaka 64 iliyopita alizaliwa mtoto aliyekuja kufufua matumaini ya Watanzania,shida za Watanzania zikapata ufumbuzi,matatizo ya Watanzania akayanunua na kuwa matatizo yake,ikawa kila mwenye tatizo alikwenda kwake na kutatuliwa tatizo lake,alikuwa mwenye kipaji cha Uongozi toka...
  11. Poppy Hatonn

    Happy Birthday. Leo ni birth day ya Dr. Slaa.

    Leo ni birth day ya Dr Slaa. Nimeona katika internet. Ingawa yeye alitamka October 28 ndiyo birth day yake. Namtakia Dr. Slaa afya njema na mambo yote mema;yeye,familia yake na rafiki zake.
  12. Vincenzo Jr

    Happy birthday Hayati Dkt. Magufuli

    Kheri ya siku ya mfanano wa Kuzaliwa Kwako , Comrade Hayati Dkt JOHN POMBE MAGUFULI. Uli wanyoosha sana chawa wa ccm
  13. R

    Leo Mzee Kikwete ametimiza miaka 73; wanasiasa wa CCM na Upinzani nawakumbusha kumtakia maisha marefu

    Mhe. Kikwete amewaleta kwenye uwanja wa siasa vijana na wazee wengi wanaongara leo. Lakini wasipokumbishwa kumtakia happybithday huyu father may be wanaweza kupotezea. Sisi jukumu letu nikuwakumbusha kuandika hata KINAFIKI kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii kwamba mzee kazaliwa. Naona...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wema Sepetu ajutia kilichotokea katika sherehe ya birthday yake “Sitafanya tena birthday”

    https://youtu.be/z_Ev4ytqGmk?si=WvAsJcAtt7CK4XOq Msanii wa filamu @wemasepetu amefunguka kueleza jinsi siku yake muhimu yakuzaliwa ilivyogeuka mwika katika yake ambayo imemfanya aape tutosherekea tena siku yake ya kuzaliwa. Mwigizaji huyo ametoa taarifa hii “Nia na Madhumuni yangu ilikuwa ni...
  15. jastertz

    Happy Birthday to Me…

    Miaka 25 si Haba. Thank God 🙏
  16. A

    Happy birthday Dr Rev Eliona Kimaro

    Heri ya Kuzaliwa Mtumishi wa Mungu Dr Rev Kimaro. Mungu azidi kukupa miaka mingi ya Neema na baraka uzidi kutimiza kusudi lake hapa duniani.
  17. Replica

    Happy Birthday Tido Muhando, mwamba imara kwenye tasnia ya Habari

    Alianzia redio ya Taifa, Radio Tanzania Dar Es Salaam, kabla ya kuelekea Kenya ambako alifanya kazi kwa miaka mingi kabla ya kujiunga na shirika la utangazaji la Uingereza, BBC katikati ya miaka ya 1990. Mojawapo ya maswali aliyoomuuliza Rais Magufuli ilikuwa kuhusu Demokrasia nchini na...
  18. B

    Jamani eti ni kweli kumfanyia mtoto birthday ni agano?

    Watu wanasema ukimfanyia mtoto birthday hasa kuanzia akiwa mdogo ni agano. Unatakiwa uendelee hivyo hivyo kila mwaka mpaka atakapo ingia kaburini au wewe utakapo ingia kaburini. .. usipo mfanyia hata mwaka mmoja ( hasa hasa akiwa bado mdogo anasoma) inaweza kumuathiri kisaikolojia pakubwa sana...
  19. Kamanda Asiyechoka

    Happy birthday Freeman Aikael Mbowe

    Mwamba tuvushe...
  20. Lady Whistledown

    Uganda: Barabara kufungwa kupisha Sherehe za Siku ya kuzaliwa Rais Museveni

    Askari wa Usalama Barabarani wametangaza kufunga barabara jijini Kampala kwa ajili ya sherehe za kuadhimisha Miaka 79 ya kuzaliwa kwa Rais Yoweri Museveni, Septemba 8, 2023, zitakazofanyika katika Uwanja wa Uhuru na kutarajiwa kuhudhuriwa na watu zaidi ya 100,000 kutoka Nchi mbalimbali Sherehe...
Back
Top Bottom