Hawa hawana tofauti, kila mmoja ametenda high-level atrocities against innocent citizens.
Si sahihi kumuacha Mganga Biswalo na kumchunguza Ole Sabaya, hii ni double standards!
Miongoni mwa watu walioteuliwa leo na Rais Samia Suluhu kuwa majaji wa mahakama kuu, jina la DPP Biswalo Maganga lipo pia.
Hili jambo limetushtua sana wadau wa mambo ya sheria, kuna kitu tunakiona hakiko sawa na kinakwenda kutuharibia zaidi mhimili wetu wa sheria. Nitaweka sababu za msingi sana...
Uteuzi wa Biswalo Mganga umeniumiza na kunikumbusha maumivu ya taifa hasa kwa wanaharakati, Wafanyabiashara, na yeyote aliyekuwa kinyume na utawala wa Mwendazake, Biswalo alikuwa mkono imara wa mateso ya Watanzania, huyu alikuwa wino halisi wa kitabu cheusi cha utawala uliopita. Biswalo ni roho...
Tatizo hasa ni nini kwa sababu hata DPP Felleshi aliondolewa na sasa ni Jaji Kiongozi.
Kimsingi sheria imempa madaraka makubwa DPP so hata DPP atakayekuja bado mtamlalamikia tu akiwa anatimiza majukumu yake kwa msingi wa sheria.
Tunapaswa kutibu ugonjwa badala ya kutibu dalili.
Ramadhan kareem!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.