bitcoin

  1. chizcom

    Historia ya crypto currency na safari yake huko mbeleni kwenye sarafu ya Bitcoin na nyingine

    Habari zenu JF mimi ni mmoja wa watumiaji wa sarafu za kidigital kwa jina crypto currency. Nitapenda kutoa historia ya kwa nini kuanzishwa sarafu hizi ni ilikuwa kwa ajili ya nini na kwa sababu hipi. Tuna fahamu tokea dunia kuanza mpaka kufika leo mifumo mingi ya malipo ilianza kwa...
  2. BestOfMyKind

    Usiwekeze kwenye Bitcoin wala crypto currency yoyote, wekeza huku

    1. Dhahabu - dhahabu kilo moja thamani yake ni zaidi ya shilingi milioni 100 za kitanzania. Dhahabu haiwezi kushuka thamani kwasababu i) haipatikani kiurahisi ii) ina matumizi mengi iii) ipo tangu mwanzo wa ulimwengu kwa hiyo soko lake sio jipya 2. Mafuta na Gesi
  3. M

    Cryptocurrency ni kweli siyo upigaji; kwa siku tano nimeingiza faida ya dola 900 za kimarekani

    Ni wiki mbili zimepita nimejiunga kwenye crypto currency baada ya kulazimishwa na rafiki yangu. Alinisihi sana nikasita. Aliniambia sasa hivi kabla ya October kuisha ukiwekeza kwenye coins sahihi ambazo alinisaidia kunionesha nitapata faida. Nilisita ila siku tano zilizopigwa nikafungua account...
  4. S

    Rais Samia: BoT wajiandae kuruhusu Crypto-Currency

    Rais Samia Suluhu Hassan hataki Sheria za nchi ziwe kikwazo kwa watanzania kutumia Sarafu za Kimtandao. Ameyasema haya leo wakati anazindua jengo la BoT Tawi la Mwanza. Hivyo ameitaka BoT kuandaa mazingira ya kisheria na taratibu nyingine ya wananchi kutumia Sarafu za Kimtandao:- mfano...
  5. S

    Wizi wa mtandao: Akaunti za Twitter za Bill Gates na Elon Musk zadukuliwa, mamilioni ya dola yaibiwa

    Ni ndani tu ya saa moja lililopita, wadukuzi wamefanikiwa kuingilia faragha za akaunti za Twitter za Bill gates na Elon Musk na kutuma ujumbe ukiwataka watu watume kiasi cha pesa kwa njia ya bitcoin kisha, Watatumiwa mara mbili ya hiko kiasi. Mashambulizi yamekuwa makubwa maana kila Twitter...
  6. Makirita Amani

    Kila kitu unachopaswa kujua kuhusu Cryptocurrency na Bitcoin na kwanini siyo uwekezaji mzuri kwako kwa sasa

    Habari kubwa katika kipindi hichi kwa upande wa fedha na uwekezaji ni cryptocurrency au kama inavyofahamika kwa Kiswahili fedha za kidijitali. Aina hii ya fedha imewavutia wengi siyo kwa sababu ya matumizi yake, bali kwa jinsi thamani yake inavyokua kwa kasi na hivyo wengi kuona ni sehemu rahisi...
  7. Kurzweil

    BoT yazuia matumizi ya pesa ya kidigitali - Crypto currency

    BoT katika taarifa yake imeeleza kuwa inatambua juu ya uwepo wa watu wanaofanya malipo kwa kutumia sarafu hizo na yapo matukio ya uhamasishaji wa sarafu hizo Wapo wanaodai kuwa wamewasiliana na Benki Kuu kuhusu uhalali wa matumizi ya sarafu kauli ambazo ni potofu Taarifa ya BoT imewaonya wote...
Back
Top Bottom