Habari zenu JF
mimi ni mmoja wa watumiaji wa sarafu za kidigital kwa jina crypto currency.
Nitapenda kutoa historia ya kwa nini kuanzishwa sarafu hizi ni ilikuwa kwa ajili ya nini na kwa sababu hipi.
Tuna fahamu tokea dunia kuanza mpaka kufika leo mifumo mingi ya malipo ilianza kwa...
1. Dhahabu - dhahabu kilo moja thamani yake ni zaidi ya shilingi milioni 100 za kitanzania. Dhahabu haiwezi kushuka thamani kwasababu i) haipatikani kiurahisi ii) ina matumizi mengi iii) ipo tangu mwanzo wa ulimwengu kwa hiyo soko lake sio jipya
2. Mafuta na Gesi
Ni wiki mbili zimepita nimejiunga kwenye crypto currency baada ya kulazimishwa na rafiki yangu. Alinisihi sana nikasita. Aliniambia sasa hivi kabla ya October kuisha ukiwekeza kwenye coins sahihi ambazo alinisaidia kunionesha nitapata faida.
Nilisita ila siku tano zilizopigwa nikafungua account...
Rais Samia Suluhu Hassan hataki Sheria za nchi ziwe kikwazo kwa watanzania kutumia Sarafu za Kimtandao. Ameyasema haya leo wakati anazindua jengo la BoT Tawi la Mwanza.
Hivyo ameitaka BoT kuandaa mazingira ya kisheria na taratibu nyingine ya wananchi kutumia Sarafu za Kimtandao:- mfano...
Ni ndani tu ya saa moja lililopita, wadukuzi wamefanikiwa kuingilia faragha za akaunti za Twitter za Bill gates na Elon Musk na kutuma ujumbe ukiwataka watu watume kiasi cha pesa kwa njia ya bitcoin kisha, Watatumiwa mara mbili ya hiko kiasi.
Mashambulizi yamekuwa makubwa maana kila Twitter...
Habari kubwa katika kipindi hichi kwa upande wa fedha na uwekezaji ni cryptocurrency au kama inavyofahamika kwa Kiswahili fedha za kidijitali. Aina hii ya fedha imewavutia wengi siyo kwa sababu ya matumizi yake, bali kwa jinsi thamani yake inavyokua kwa kasi na hivyo wengi kuona ni sehemu rahisi...
BoT katika taarifa yake imeeleza kuwa inatambua juu ya uwepo wa watu wanaofanya malipo kwa kutumia sarafu hizo na yapo matukio ya uhamasishaji wa sarafu hizo
Wapo wanaodai kuwa wamewasiliana na Benki Kuu kuhusu uhalali wa matumizi ya sarafu kauli ambazo ni potofu
Taarifa ya BoT imewaonya wote...