Kuna watu unajikuta unawapenda bila sababu yoyote/unconditionally yaani unamkubali tu, basi upande wangu kuna orodha ndefu ya watu wengi ninaowakubali sana kama vile 2Pac, Mohamed Ali, T. Sankara, P. Lumumba, Kit Harington, Charlie Cox, Nyerere, fidel Castro, Luck Dube,JPM, Jidenna, Runtown...