Wakubwa salaam,
Ningependa kama kuna mtu anajua faida za binzari nyeusi na tangawizi nyekundu. Pia kama kuna tofauti yoyote na binzari za njano au tangawizi nyeupe
This kind of colonialism is amazing ni militarized kwenye utendaji ila ni Democratic kwenye kuchukua hatamu za uongozi. Sasa si bora nchi zenye Mapinduzi ya kijeshi hata kiongozi akijimwamba inakuwa sawa halali yake kuliko hawa kupe.
Black Colour (Rangi Nyeusi) - Ni Rangi inayoashiria Giza (Darkness).
Kwa vizazi vya kale vya Ancient Egypt na Greece ni rangi inayorepresent Underworld.
Kwa modern world, black colour ni rangi yenye maana nyingi mbalimbali, huku ikitumika kuwakilisha baadhi ya vitu kama Strength (Nguvu)...
Nimenunua hii simu mwaka jana mwezi wa tisa
Mwaka huu mwezi wa pili simu imezima tu screen ghafla, haijadondoka,haijakwaruzika hata screen
Imetumwa samsung Dar wanasema ni FAULT which means sina mchango kwenye kuharibika kwa hiyo screen
Kikombe kiko kwa wakala wao niliponunua Arusha (mhindi...
Elmer "Geronimo Ji-Jaga" Pratt
Kama ni mfuatiliaji wa muziki wa Tanzania, basi utakuwa unaikumbuka ngoma kali ya Nako2Nako inayoitwa We Ndiyo Mchizi Wangu Remix (2008) iliyowashirikisha marapa kibao kama vile Fid Q, Geez Mabovu, Babuu, Mwana FA, Temba, Mansu Li n.k
Ukiisikiliza vizuri ngoma...
Black Diamond Apples from Tibet
The Black Diamond apple is a rare breed from the family of Huaniu apples that is cultivated in the Tibetan region of Nyingchi. Despite what the name suggests, the apple rather is a purple hue, with white pulp on the inside. Its unique color is due to the...
The brutal words of Richard Smith, famous British guitarist, during an interview.
I have been asked many times what I think of Africans, here is what I think of Africans, without language and without taboos.
They sell everything to the highest bidder, even the land. Then they poison...
Huyu mama kutoka USA ameishi Accra Ghana na wakati huu yupo Nairobi. Anasema Nairobi ni kubwa na kumejengwa sana ikilinganishwa na Accra. Sasa sijui Malazy huwa wanaikejeli Nairobi kwa nini na wageni kutoka nje wanaisifu.
WELCOME TO BORUSSIA DORTMUND OFFICIAL THREAD
Ballspielverein Borussia 09 e. V. Dortmund, commonly known as Borussia Dortmund [boˈʁʊsi̯aː ˈdɔɐ̯tmʊnt],[2] BVB,
Full name
Ballspielverein Borussia 09 e. V. Dortmund
Nickname(s)
Die Borussen
Die Schwarzgelben (The Black and Yellows)
Der BVB...
Baada ya kelele nyingi mitandaoni zinazodai chuma kipya cha Daiaond ni feki, nikaamua kuingia mtandaoniili ili nicheki facts maana watalamu wanasema "No research, no data, no right to speak",,,,bila uchunguzi usio na taarifa huna haja ya kufungua mdomo.
Muda sio mrefu nimeingia kwenye account...
Baada ya kusubiria muda mreefu takribani mwaka ni siku kadhaa hatimae July 9 Black widow imeachiwa rasmi. Kwa wanaotumia Disney plus wataipata kwa 30$ though sidhani kama Disney+ inapatika bongo wengine mtaipata Cinema huko...Wazee wa vya bure Torrent ipo mapema tu watu walishaidaka...
Hebu tujaribu kidogo kuwachambua hawa wababe wawili kisha tujue ikiwa watakutana nani atakuwa zaidi??
Black mamba na King cobra ni moja ya jamii hatari zaidi za nyoka duniani na maarufu hata kimuonekano kutokana na upekee wa maumbo yao.
BLACK MAMBA: Nyoka anayejulikana kwa kuua sana duniani na...
Amefariki jana, akiwa na umri wa miaka 51. Ni rap aliyekuwa na pdiddy kwenye kundi la Bad Boyz. Ngoma yake iliyomtambulisha na ambayo ilinifanya ni mjue ni like wooh.
Amefariki dunia baada ya kupita siku 10 tangu mkali mwingine wa hizo kazi DMX kufariki.
RIP
Soma mwanzo mwisho kwa nafasi utanufaika sana.
Kipande hiki kutoka kitabu cha homo deus kilichoandikwa na yuval noah harari kimenifikirisha sana kuona namna tulivyotumia mbinu za mwaka 1520 za kupambana na mlipuko wa magonjwa kupambana na corona.
On 5 March 1520 a small Spanish flotilla left...
Artist: Regina Spektor
Title: Black And White
Album: Remember Us To Life
Genre: Rock
Label: Sire Records
Year: 2016
All my love
In black and white
On this color photograph
Sad sad eyes
Know too much
You will always start to cry
Why should I wait for tomorrow?
Why should I wait for tomorrow...
Tuna kila sababu ya kuwa na wasiwasi na mambo mengi yanayohusu tiba hasa kutoka magharibi. Kuna mahali niliwahi soma jinsi waAfrika walivyokuwa wakitumika kama viumbe wa majaribio ya tafiti na chanjo mbalimbali, machozi yalinitoka kwa uchungu ulioambatana na hasira. Ilikuwa hivi, walitaka kujua...
USED HP Deskjet 4515
-Print, scan na copy
-Inaprint black na rangi
-Inaprint two sided
-Ina wireless print access
- 6.73 cm touch screen
-Ipo kwenye hali nzuri sana haina tatizo lolote
-Bei laki mbili na elfu hamsini (250,000/=)
-Mawasiliano: 0658322565
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.