boda boda

Boda bodas are bicycles and motorcycle taxis commonly found in East Africa. While motorcycle taxis like boda bodas are present throughout Africa and beyond, the term boda boda is specific to East Africa. In Kenya, they are more frequently called piki pikis. Their ubiquitous presence in East African cities is the result of a number of factors including an increasing demand for public transit, the ability to purchase motorcycles on credit, and an influx of cheap imports from Indian manufacturers like Bajaj. In the countries where they are present, boda bodas can provide transportation options to riders and job opportunities to drivers while at the same time resulting in an increase in road hazards and collisions and unnecessary injuries and deaths.

View More On Wikipedia.org
  1. jokotinda_Jr

    Baadhi ya vijana wa boda boda mikoani ni maagent wa waganga wakienyeji hasa mikoa ya nyanda za juu

    Habari za mda huu wana jamvi .. juzi kati nlikuwa mikoa ya kusini mwa tanzania kikazi baada ya kufika nlipita kwenye baadhi ya wilaya na vijiji vichache nlipatwa na mshangao kidgo kila kituo cha boda ukifika utasikia .... karibu utaenda kwa Bibi!! Au utaenda kwa Babu ... Baada ya kuchunguza...
  2. S

    Boda boda ni wambea sana

    Mwanamke unakubaliji kuolewa na hawa jamaa waendesha bodaboda ni wambea sana wafitinishaji ndio maana hayafanikiwagi
  3. Expensive life

    Polisi mkoani Dodoma wapiga marufuku wanawake kupanda boda boda kwa kujibinua

    Mamlaka za polisi mkoani Dodoma zimepiga marufuku baadhi ya wanawake kupanda boda boda kwa mtindo wa kujibinua.
  4. masopakyindi

    Suala la Bodaboda kuingia mjini kati; Wabunge wetu mnakosa viwango!

    Nimeshangazwa na kauli za baadhi ya wabunge wakiongozwa na Jerry Silaa kutaka bodaboda ziendelee kuwa kero jijini Dar es Salaam. Suala hili limebebwa vile vile na Spika Tulia Ackson, kutetea baodaboda kuendelea kuwa kero katikati ya miji mingi nchini. Siyo siri bodaboda ni kero kubwa...
  5. Scania 113

    Tupeane utaratibu

    Habari za mda huu Nahitaji mchango wenu wa mawazo katika hili ni kwamba nina eneo langu la wazi linatazamana na kituo ch mafuta ambach hakijaa anza kufanya kazi bado hili eneo kama mnavyojua sasa hivi matumizi ya mabanda au vibanda vya biashara ni changamoto sana. Sasa kun wazo nimepewa lakini...
  6. Mung Chris

    Ni sehemu gani hapa Tanzania biashara ya boda boda inalipa na hamna wizi wa Pikipiki?

    Wakuu tuje kila mtu na Tafiti zake ili tupate mwanga na kumsaidia ambaye anaweza akahitaji kufanya biashara ya boda boda. Ni Mkoa gani, Wilaya, Kata, Kijiji au sehem gani mtu unaweza ukawekeza kwa biasahra ya pikipiki ya Mkataba na ukapata pesa zako bila wasiwasi na usiwe na hofu ya kuibiwa...
  7. Doctor Ngariba

    Uzi maalum kwa madereva na abiria wa bodaboda (mikasa, matukio, changamoto na ngekewa)

    Habari ya weekend JF members, Mimi mzima wa afya na mwenye changamoto ya kiafya nampa pole na kumuombea apone arejee katika majukumu ya kulijenga taifa mama Tanzania.Pole zangu pia ziwaendee kwa walioguswa kwa namna moja ama nyingine kwa hukumu ya nyundo (30 yrs behind the bars) iliyopitishwa...
  8. E

    Biashara ya boda boda

    Nimejikusanyia ka pesa ka boom kwa miaka miwili sasa, nimepata 1, 400, 000. Nafikiri kununua boda halafu nimwachie mtu aendeshe ili jioni aniletee hesabu! Hivi bodaboda itanilipa kweli? Na je, nikifanikisha itanibdi nipokee kiasi kipi kwa siku? Mwanachuo UDSM. Nawasilisha!;
  9. X

    Natafuta kazi ya udereva wa bodaboda

    Habari ndugu zangu Mabibi na mabwana napenda kuwasalimu wakubwa na wadogo, Lengo la Ujumbe huu ni kuomba kwa yeyote ( MWENYE PIKIPIKI YA MKATABA/ HESABU ) nipo tayari kufanya kazi nina patikana Ubungo River side Licence number ( D ), Natanguliza shukrani na Muenyezi mungu awabaliki.🙏
  10. Rion Jr

    Mambo ya kuzingatia kwenye kununua boda boda used

    Mimi ni kijana ambaye niko jiji Dar es Salaam katika harakati za kutafuta pesa nmefikiria kununua boda boda ili niweze kujiongezea kipato lakini kutokana na boda boda mpya kuwa gharama sana nmefikiria kununua boda boda used ambayo gharama yake inaweza anzia kwenye 800k had 1.2M Nilikuwa nauliza...
  11. Mung Chris

    Bodaboda na Bajaji msijione mmesaidiwa kwa faini kuweni makini eshimuni sheria za barabarani

    Niseme tu kwamba hawa bodaboda na Bajaji nimewaona wakiwa na furaha kedekede bila ya kujua kuwa pamoja na kupunguza faini lazima watii sheria za barabarani na kuhakikisha vyombo vyao vya moto viko sawa na havina itilafu ambayo huenda vikasababisha trafiki wakawakamata. Sikatai wafurahie ila...
  12. Erick Richard R-Madrid

    Wazoefu wa biashara ya boda boda na bajaji, njoo mtujuze changamoto mnazokumbana nazo

    Salamu wana Jukwaa.... Nimepata wazo la kuanzisha biashara ya Boda boda na Bajaji kuanzia mwezii wa 11 jijini Dar es salaam, naanza biashara hii baada ya kujibana kwa kipindi cha miaka 3 sasa. Nimewekeza kiasi cha Milioni 10, nitaanza kwa Bajaji 1 na Boda boda 1. Nipata wazo hili huku...
  13. LIKUD

    Nimempiga boadaboda mpaka nimemuonea huruma

    Bodaboda wa hapa mjini wana mentality moja ya kijinga sana.! Wanapokuwa barabarani they always act in this kind of foolish attitude " Tupo wengi ukinizingua ntaenda kuwaita wenzangu tutakuzingua" Leo wakati narudi home " barabara" ya vumbi nimekutana na bodaboda mmoja yupo overspeed. Nikammwepa...
Back
Top Bottom