bodaboda used

  1. Julius Husseni

    Nina million na laki mbili, wapi napata pikipiki boxa used imara?

    Rasmi sasa kuna jamaa kanidodosa kua biashara ya boda inalipa kwahiyo nimeona nicheki upepo wa pikipiki boda. Mwenye connection ya boda nzuri kwa hiyo bei gani USINIAAMBIE NIJE PM SIJI Asanteni.
Back
Top Bottom