Maafisa usafirishaji wa mtandao, maarufu kama bodaboda za mtandao, wamefunga barabara katika eneo la Chuo cha Biashara (CBE) Posta, Jijini Dar es salaam, wakipinga vitendo vya Maafisa wa Jiji kuwakamata wanapoingia katikati ya Jiji kuwachukua abiria walioita usafri kupitia programu za...