Maafisa usafirishaji wa mtandao, maarufu kama bodaboda za mtandao, wamefunga barabara katika eneo la Chuo cha Biashara (CBE) Posta, Jijini Dar es sala

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Maafisa usafirishaji wa mtandao, maarufu kama bodaboda za mtandao, wamefunga barabara katika eneo la Chuo cha Biashara (CBE) Posta, Jijini Dar es salaam, wakipinga vitendo vya Maafisa wa Jiji kuwakamata wanapoingia katikati ya Jiji kuwachukua abiria walioita usafri kupitia programu za usafirishaji.

Madereva hao, ambao wamedai kuwa hukamatwa mara kwa mara wanapokwenda kuwachukua abiria waliowaagiza kupitia programu za usafirishaji ambapo wameeleza kuwa baada ya kukamatwa hupelekwa katika Ofisi za Jiji huandikiwa kosa la kupaki sehemu isiyoruhusiwa (Wrong Parking) na kutozwa faini ya shilingi 70,000.

“Tunalipa ada kwa kampuni za usafirishaji wa mtandao na tunafuata masharti yote ya kazi. Lakini kila tunapokwenda kumchukua abiria tunaishia kukamatwa kwa madai ya ‘Wrong Parking’. Askari wanatupeleka ofisi za Jiji na tunatakiwa kulipa shilingi 70,000. Tumechoka na hali hii.

Kama hatutakiwi kufanya kazi katikati ya jiji, basi waelekezwe kampuni za usafirishaji wa mtandao zifunge huduma hizo katika eneo hilo ili tusiendelee kupata hasara,” amesema mmoja wa madereva wa teksi za mtandao.

Pia soma
~
Halmashauri ya Jiji la Dar yasitisha ada ya maegesho Mjini
~ Halmashauri ya Jiji Dar: Hatukamati Wanaoshusha au kupakia abiria bali wanaoegesha kabisa
 
Maafisa usafirishaji wa mtandao, maarufu kama bodaboda za mtandao, wamefunga barabara katika eneo la Chuo cha Biashara (CBE) Posta, Jijini Dar es salaam, wakipinga vitendo vya Maafisa wa Jiji kuwakamata wanapoingia katikati ya Jiji kuwachukua abiria walioita usafri kupitia programu za usafirishaji.

Madereva hao, ambao wamedai kuwa hukamatwa mara kwa mara wanapokwenda kuwachukua abiria waliowaagiza kupitia programu za usafirishaji ambapo wameeleza kuwa baada ya kukamatwa hupelekwa katika Ofisi za Jiji huandikiwa kosa la kupaki sehemu isiyoruhusiwa (Wrong Parking) na kutozwa faini ya shilingi 70,000.

“Tunalipa ada kwa kampuni za usafirishaji wa mtandao na tunafuata masharti yote ya kazi. Lakini kila tunapokwenda kumchukua abiria tunaishia kukamatwa kwa madai ya ‘Wrong Parking’. Askari wanatupeleka ofisi za Jiji na tunatakiwa kulipa shilingi 70,000. Tumechoka na hali hii.

Kama hatutakiwi kufanya kazi katikati ya jiji, basi waelekezwe kampuni za usafirishaji wa mtandao zifunge huduma hizo katika eneo hilo ili tusiendelee kupata hasara,” amesema mmoja wa madereva wa teksi za mtandao
CCM hiyeeeeeeeeee
 
okay,
I hope responsible authority is going to take every measure possible to sort the little issue.

ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra, everything gonna be alright as soon as possible 🐒
 
Wakiambiwa nchi imeoza si hawaelewi mwishowe wakijaziwa mafuta wanashangilia,,,hawakujua system yetu kama mtego wa panya, unakamata wote aliyekula nguo na asiyekula
 
okay,
I hope responsible authority is going to take every measure possible to sort the little issue.

ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra, everything gonna be alright as soon as possible 🐒
umepata mlo wa mchana? posho buku7 mpaka kiongozi afurahi sio kazi ndogo. Kuna siku mwenzenu mmoja kapewa hela akagawie chawa wenzake akalala nazo mbere
 
Maafisa usafirishaji wa mtandao, maarufu kama bodaboda za mtandao, wamefunga barabara katika eneo la Chuo cha Biashara (CBE) Posta, Jijini Dar es salaam, wakipinga vitendo vya Maafisa wa Jiji kuwakamata wanapoingia katikati ya Jiji kuwachukua abiria walioita usafri kupitia programu za usafirishaji.

Madereva hao, ambao wamedai kuwa hukamatwa mara kwa mara wanapokwenda kuwachukua abiria waliowaagiza kupitia programu za usafirishaji ambapo wameeleza kuwa baada ya kukamatwa hupelekwa katika Ofisi za Jiji huandikiwa kosa la kupaki sehemu isiyoruhusiwa (Wrong Parking) na kutozwa faini ya shilingi 70,000.

“Tunalipa ada kwa kampuni za usafirishaji wa mtandao na tunafuata masharti yote ya kazi. Lakini kila tunapokwenda kumchukua abiria tunaishia kukamatwa kwa madai ya ‘Wrong Parking’. Askari wanatupeleka ofisi za Jiji na tunatakiwa kulipa shilingi 70,000. Tumechoka na hali hii.

Kama hatutakiwi kufanya kazi katikati ya jiji, basi waelekezwe kampuni za usafirishaji wa mtandao zifunge huduma hizo katika eneo hilo ili tusiendelee kupata hasara,” amesema mmoja wa madereva wa teksi za mtandao
Kila mtu atafikiwa kwa wakati wake; mpaka wote tuongee lugha moja!
 
Wakiambiwa waandamane wanajificha, tuliwaambia walizana na GenZ, Upinzani, TLS, wanaharakati watawajia ninyi madereva bodaboda, bajaji, mama ntilie, wanachama wakorofi wa CCM n.k

Wakihojiwa na media wanakwepa kuilaumu serikali haramu moja kwa moja inayotumia LATRA. JIJI, TRA, Agency za Bolt , Uber n.k kuwakamua, hao waliopewa jina la maafisa wasafirishaji na serikali ya chama dola kongwe CCM

Ajira zitoke kwenye uofisa usafirishaji kwenda kuwa na viwanda vingi, vikubwa na vidogo kutoa ajira badala ya wote kusukumizwa kuwa madereva wa bodaboda na bajaji.
 
okay,
I hope responsible authority is going to take every measure possible to sort the little issue.

ni muhimu sana kua wastahilivu na wenye subra, everything gonna be alright as soon as possible 🐒
Wewe vuvuzela ungenyamaza tu.

Umaskini wa Mtanganyika ndiyo furaha ya Chama chako.
 
Naam safi sana , ipo siku CCM itashangzwa
.....

Maandamano ya bila taarifa kama haya yatakapoibuka siku moja ndio wataona hata policcm hawatoshi.

Nimekuelewa sana hapo maandamano yasiyo na taarifa wala tarehe maalum
 
Back
Top Bottom