Habari Wadau wa Jamii Forum,
Nimeanzisha biashara ya usalama wa vyombo vya moto kupitia GPS na ninahitaji support yenu.
Kama mnavofahamu, biashara katika sector ya usafiri imepamba moto nchini.Lakini palipo na biashara hapakosi changamoto. Wizi wa vyombo vya usafiri kama Pikipiki, Bajaji...
Wakuu, naomba kusaidiwa vitu vifuatavyo kuhusu hii biashara ya pikipiki.
1.Aina ya pikipiki uliyokuwa unatumia au aina ya pikipiki unayopendekeza kwenye hii biashara
2.Wastani wa pesa uliyokuwa unapata kwa siku au weekly.
3.Gharama yamatengenezo kwa siku au kwa mwezi
Natanguliza shukrani zangu...
Hongereni kwa kufunga kwa upande wa ndugu zetu waislam na pia kwa ndugu zetu wakristo tunasema tupo pamoja na nyinyi ili mradi tusiweze kuaribu swaumu zenu kwa njia moja au nyingine..
sasa ndugu zangu me nataka kuanza kufanya biashara ya boda boda nitampa kijan awe dereva wangu...tatizo nina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.