Mahakama ya Hakimu Mkazi Uvinza imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela dereva wa bodaboda, Ruben Gerishon (24) mkazi wa Kijiji cha Mlela wilayani humo mkoani Kigoma baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka abiria wake.
Sambamba na hukumu hiyo, mahakama imetaifisha pikipiki iliyokuwa ikitumiwa na...