BODABODA WAMTUMA MJEMA KWA SAMIA
VIONGOZI wa Shirikisho la Waendesha Bodaboda Tanzania, leo Agosti 9, 2023 wamefika katika Ofisi Ndogo za Makao Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam na kuzungumza na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Ndg. Sophia Mjema.
Viongozi hao walimuomba Ndg. Mjema...