Wanasheria, walimu na wahasibi wapo wengi sana mtaani na hawana ajira
Kitendo Cha bodi ya mikopo kuendelea kuchoma pesa Kila mwaka kuwakopesha wanafunzi wapya wakasomee hizo fani pesa ambazo hata hamjui kama zitarudi hayo ni matumizi mabaya Kwa pesa za walipa kodi
Tayari wapo wengi mtaani...
Kwa hali hayo tumeshindwa kusaini malipo hayo na kupelekea kuexpire baada ya muda fulani na kushindwa kupata pesa hizo hivyo tunaomba mamlaka kufuatilia ikiwezekana kuturudishia app tuliyokua tunatumia mwanzo maan hiyo haikua na shida yeyote baada kuapdate hii mpya ndo tunakutana hizo changamoto
ORODHA YA WANUFAIKA WA 'SAMIA SCHOLARSHIP' NGAZI YA SHAHADA YA UMAHIRI YATANGAZWA
Tsh. Milioni 623.2 zatumika kuwafadhili
■Jumla ya wanafunzi 80 wa Shahada za Uzamili katika Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) ambao wamedahiliwa katika programu za sayansi na ubunifu...
Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Tanzania kuhusu matatizo yanayojitokeza katika mfumo wenu wa maombi ya mikopo tangu zoezi la maombi lilipofunguliwa tarehe 15 hadi leo hii tarehe 24/01/2024 Tatizo kubwa ni kwamba hakuna maombi yaliyopokelewa kutokana na...
Sisi Wahitimu wa Shahada katika Chuo cha Kimataifa Kampala kilichopo Gongo la Mboto, Dar es Salaam hatujapewa malipo yetu yaliyozidi (refund) kutoka kwenye fedha tulizokuwa tunalipiwa na Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB).
Wakati tukiwa mwaka wa pili (Mwaka 2023) kuna wengi...
Pia soma:
~ Baadhi ya wanafunzi waliopata Samia scholarship UDSM wakumbana hali ngumu kufuatia kutopata fedha za kujikimu na ada ya masomo
~ Wanafunzi wa Chuo cha Takwimu Mashariki Mwa Afrika (EASTC) hatujapata malipo ya Fedha za Kujikimu wiki ya tatu sasa
Aliyekuwa makamu mkuu wa Chuo cha kilimo Sokoine SUA kuanzia mwaka 1989 mpaka 2006 na Mwenyekiti BODI ya MIKOPO kuanzia 2008 mpaka 2016...amefariki DUNIA hapo Jana tarehe 18dec2024 mkoani Morogoro...!
Ikumbukwe marehemu alifanya kazi na Marais wastaafu Mwl Julius Kambarage Nyerere, Ally Hassan...
Wakuu Naomba kuuliza kama Kwenye account yako ya sipa kuna allocation ya meals and accommodation pamoja na tuition fee!
Ila hakuna disbursement wala check number.
Na hujapata message ya boom shida inakuwa ipo kwa loan officer AU shida inakuwa Kule board ya mikopo?
Mana loan officer chuoni...
Wadau habari zenu,
Leo nimeona bodi ya mikopo wametoa taarifa lakini ghafla wakaifuta katika mitandao yao ya kijamii, je bado majibu ya appeal hayajatoka rasmi?
Naomba tutumie uzi huu kupeana updates kwa kile kilichojiri kuhusiana na maoimbi ya APPEAL.
Habarini ndugu,
Hii inawahusu moja kwa moja bodi ya mikopo elimu ya juu,kunashida gani mpka wanachuo mpka wiki jana hawajapata boom?
Na nikiangalia kwa umakini huo ni mkataba kati yenu ninyi na wanafunzi husika sasa inakuwaje mpka boom linachelewa hivo?
(Haswa kwa wanafunzi wenye akaunti ya...
Nimeshanganzwa na makato mapya toka bodi ya mikopo kwa mshahara uliopita na Kwa watu wengi tu wamekatwa ambao walishalipa tayari sijui tukapewa na certificate of nini ?.
Nolipojaribu kuwasiliana nao majibu yao wanasema hiyo ni retention fee hili limenishangaza sana na nimewapa statement ya...
Baada ya HESLB kufunga maombi na kutoa twakimu ni wazi bodi hii inakosa muelekeo katika vipaumbele vya kozi za kutoa mikopo.
Katika soko la ajira na kujiajiri ufundi wowote ungefaa kuwa kipaumbele katika utoaji wa mikopo.
Pili kinachotolewa mkopo ni kozi au Hali ya mwanafunzi.
Ukiangalia kwa...
Wakuu,
Nimeona nitoe hii habari humu ili mtu asije kukata tamaa kwa maneno ya mtaani. Nilizidisha kama laki nne hivi kwenye kulipa deni la bodi ya mkopo. (HESLB)
Sasa ilipofika nataka kufatilia wanilipe kila niliyemwambia alisema niachane nao huwa hawalipi. Sasa siku moja nikaenda pale bodi...
Mwenye kuelewa namna ya kufanya Apply For Appeal kwenye mfumo wa OLAMS HESLB naomba msaada maana kila nikiingia mfumo unaniandikia "An Error Occurred Please Try Again"
Msaada kwenye tuta wakuu
Mbunge Jumanne Kishimba, ambaye ni mjumbe wa Kamati ya Elimu ya Juu, ametoa maoni yake Bungeni kuhusu hali ya mikopo ya elimu nchini. Maoni hayo yalikuja baada ya Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB) kudai kushindwa kupata marejesho kutoka kwa waliokopa mikopo ya elimu na...
Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024.
1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 3 November 2024 jumapili kimya.Hii...
Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024.
1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 2 November 2024 jumamosi kimya.Hii...
Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024.
1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 2 November 2024 jumamosi kimya.Hii...
Bodi ya Mikopo ya mikopo ya Elimu ya juu (HESLB) wengi hawajapata mikopo na deadline tar 4 november 2024.
1.Wengi wanapata hii msg “Your verification has been passed successfully ,regular visit your account for viewing application status “ mpaka leo hii tar 2 November 2024 jumamosi kimya.Hii...
Najitambulisha kama Mwanachuo wa Chuo Kikuu kimoja hapa Tanzania na mdau wa Jamii Forums.
Nalalamikia Loans Board kuchelewesha malipo kwa Wanafunzi vyuoni. Mfano chuoni kwetu tumefungua Tarehe 21/10/2024 lakini mpaka sasa tumeingia mwezi Novemba 2024 hawajafanya malipo japo ya allocations...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.