Ni takribani miaka 20 sasa tangu mwaka 2004 ambapo Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB) ilianzishwa na imekuwa ikitegemewa na idadi kubwa ya wanafunzi wanaomaliza kidato cha sita kuelekea vyuo vikuu. Licha kutoa mikopo kwa wanafunzi wengi lakini bado imekuwa ikilalamikiwa na...
Habari zenu wadau,
Mimi niliaaply vyuo nikaconfirm IRDP nashangaa sasa nipo chuoni uku IRDP majibu ya mkopo(HESLB) yametoka mkopo umeelekezwa chuo cha CBE Dar es salaam badala ya IRDP Apa ndo sielewi hatima yangu inaenda kuaje kuhusu huu mkopo.
Hivi Kuna uwezekano wa kuhamisha mkopo kuja chuo...
Bodi ya mikopo (HESLB) kwa hili mnataka kuvuka mipaka kwa kutaka kukata pesa za posho kwa intern (watarajali) doctors, nurses etc.
Kwanza intern sio muajiriwa anakuwa katika mafunzo kwa njia ya vitendo na halipwi mshahara anapewa posho ya kujikim ndio maana TRA hawawakati kodi.
Pili mkataba...
Habari zenu Wakuu
Bodi ya mikopo leo imeanza kuallocate mikopo kwa wanafunzi wanaoendelea na masomo kutoka vyuo mbali mbali
Inafahamika kwamba allocation ilivyokuwa mwaka jana mtu aliyepata kiasi cha chini ambao mostly 80% walipata hivo ni Tshs 2.7 Million kwa mwaka wa masomo
Yaani ada kila...
Mnamo tarehe 28 Septemba bodi ya mikopo HESLB ilianza kutangaza waliopangiwa mkopo awamu ya kwanza yenye wanafunzi 21,509 wa mwaka wa kwanza kwa mwaka wa masomo 2024/2025.
Kadhalika Bodi ya Mikopo ya Wanafurnzi wa Elimu ya Juu (HESLB) siku ya Jumatano (Oktoba 09, 2024) ilitangaza awamu ya pili...
Ndugu wana JF, hii changamoto nimeiona kwa watu kadhaa ambao application zao zina makosa ila hazijapewa uwezo wa ku edit na wamekiri kabisa hakuna option ya marekebisho na siku zinakimbia kufikia deadline.
Je, ni kuonesha bodi ya mkopo hawajazipitia hizo fomu za maombi au wanaangalia vipengele...
Bodi ya mikopo(HESLB) imeunganisha mifumo ya kimkakati Kwa ajili ya kuwafikia wanufaika wenye kipato lakini hawajaanza kurudisha mikopo hiyo.
Heslb imeingia makubaliano ya ushirikiano na wakala wa usajili, ufilisi na udhamini(RITA), NIDA na taasisi za kibenki lenye lengo la kuwatambua...
Wahitimu wa Diploma Chuo cha DIT hatujapata AVN Namba, tunashindwa kuomba Mkopo, tunaomba Bodi iongeze muda wa maombi
KUONGEZWA KWA MUDA WA MAOMBI YA MIKOPO 2024/2025
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu inapenda kuwafahamisha Waombaji wa mikopo na Umma kwa ujumla kuwa muda wa...
Wadau Salaam,
Naomba kuuliza kama unaweza kufanya process ya kuomba mkopo bila ya kuwa na ADMISSION NUMBER kutoka chuo chochote! Kwani hii imetokana na dirisha la mikopo kufikia tamati tarehe 30 August ili hali matokeo ya chaguzi kuanza kutangazwa kuanzia tarehe 03 September na hapo ndipo...
Habari wanajamvi,
Kama kichwa cha habari kinavo jieleza tajwa hapo awali.
Mimi ni kaka na nina wadogo zangu wawili, mmoja kamaliza Kidato cha sita mwaka huu na mwingine yupo Kidato cha nne. Mi Sina elimu kubwa sana kitu ambacho huwa na wapambania sana madogo wasome wafike mbali ili watimize...
Hivi unapokwa umepata mkopo asilimia 100 hii inakuwa ina maana gani?
Pia soma: Ukipangwa mafunzo JKT na hujaripoti mafunzoni, je nikiomba mkopo HESLB nitapata?
Wajumbe wa Baraza Kuu La UVCCM Taifa wanaotokana na Vyuo na Vyuo Vikuu Nchini Tanzania leo Wametembelea Bodi ya Mikopo Ya Elimu ya Juu na Kukutana Na Mkurugenzi DR Bill Kiwia.
Imeelezwa kuwa lengo la Ziara hiyo ilikuwa ni kukutana na Wataalamu wa bodi na kuona ni namna Gani Wamejipanga...
Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) nchini Tanzania ina majukumu muhimu katika usimamizi na utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu. Majukumu yake ni pamoja na:
Utoaji wa Mikopo: Kusimamia utoaji wa mikopo kwa wanafunzi wa elimu ya juu wanaostahili, kulingana na taratibu na vigezo...
Naombeni msaada katika hili wadau mtu aliyehitimu kidato cha nne anaweza kupewa mkopo na bodi ya mkopo kwa ajili ya kusoma diploma?
====
Pia soma: Bodi ya Mikopo (HESLB) pamoja na kutoa mwongozo Kidato cha Nne kuomba mkopo wa Diploma, mfumo wao hauruhusu
Samahani, naomba kujua hivi bodi ya mkopo wa elimu ya juu Inatuchukuliaje Watanzania? Maana kwenye mwongozo wa mkopo wa diploma 2024/25 wanaruhusu mwenye elimu ya form four, certificate na form 6 aombe mkopo.
Cha ajabu ukiingia kwenye mfumo wa kuomba mkopo (OLAMS) education level wameweka...
Mimi ni mdau kutokoa wilaya ya Busega mkoani Simiyu. Hali ya Ugawaji wa namba za NIDA imekuwa sio nzuri ambapo kwa mwezi sasa namba hazitoki toka tarehe 10/06/2024.
Kila ukienda unaambiwa kuna tatizo la mtandao ambao ni TTCL kuwa na hitilafu makao makuu ya mkoa wa Simiyu.
Kutokana na hiyo hali...
Anonymous
Thread
bodiyamikopo
vitambulisho vya nida
vitambulisho vya taifa
Mimi ni Mtumishi wa Serikali, nilikuwa mnufaika wa mikopo ya Bodi ya Mikopo (HESLB) wakati nikisoma Chuo Kikuu!
Baada ya kuhitimu na kufanikiwa kupata kazi, nikaamua kulipa mkopo wote niliokuwa nadaiwa na Bodi ili nifute deni kisha nikaomba kiasi ninachodaiwa.
Kilichotokea wakanipa balance...
Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) leo (Ijumaa, Juni 28, 2024) imezindua Kampeni Maalumu inayolenga kuwashirikisha wananchi kwa kutumia simu na mitandao ya kijamii, kuwafichua wadaiwa sugu wa mikopo ya elimu ya juu.
Kampeni hiyo, inayofahamika kama Fichua imezinduliwa jijini...
Salaam!
Ni jumanne iliyo njema sana.
Moja Kwa moja kwenye mada.
Bodi ya Mikopo (HESLB) imekuwa ikiwaangamiza watumishi wa umma ambao waliwahi kuwa wanufaika wao walipoamua kujiendeleza kielimu bila kuzingatia kanuni ya 1/3 (Moja ya Tatu) ya mshahara. Nimeshuhudia na/kuona watumishi wakipokea...
Salaam Wakuu,
Nianze kuwatwanga maswali, hivi, enzi zenu ninyi wazee mlipokuwa mnatumia boon kusaidia familia zenu nani aliwaingilia huko? Mlipokuwa mnatumia boom kuwalipia wadogo zenu ada na kuwasaidia pesa za kujimu ili nao waweze pata elimu kama wewe kuna aliyewaingilia kwenye matumizi yenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.