bodi ya wahandisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Wahandisi wanapata changamoto kubwa ikiwemo malipo duni, huku ERB ikishindwa kutekeleza majukumu yake

    Wahandisi na wahitimu wa uhandisi nchini Tanzania tunaendelea kuwa na wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya taaluma ya uhandisi na namna inavyosimamiwa. Pamoja na kuwepo kwa Bodi ya Wahandisi Tanzania (ERB), bado kuna changamoto nyingi zinazowakabili wahandisi ambazo hazijapatiwa ufumbuzi wa kutosha...
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Bodi ya Usajili wa Wahandisi inachelewesha vyeti hata kama umekamilisha sifa zote za kupata usajili

    Bodi ya Wahandisi inakera sana, inachelewesha vyeti kwa makusudi, mtu amekamilisha kila takwa la registration, lakini unakuta hadi miezi 3 hadi 6 cheti bado hakijachapishwa. Ukiuliza unaambiwa bado kipo kwenye mchakato, sasa unajiuliza mchakato gani maana Mhandisi hadi ameapishwa, cheti...
  3. JamiiForums Tanzania KERO Bodi ya wahandisi wanachelewesha kuchapisha vyeti kwa makusudi

    Bodi ya wahandisi ina matatizo makubwa, wanachelewesha kuchapisha vyeti kwa makusudi nadhani kwa sababu zao binafsi, sasa kama mhandisi tayari umeshaandikishwa ukaandika ripoti na bodi ikakaa na kukubaliwa na mwisho ukaapishwa, ni nini kinachelewesha kuchapisha vyeti? Kwani kuna mchakato wowote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…