Leo Mrisho Gambo ametema cheche bungeni kwa kuitaka serikali iongeze nyongeza za mishahara ya watumishi na kutaka makato ya wanafunzi bodi ya mikopo yapunguzwe kutoka 15%
Amesema, sheria huwa hairudi nyuma sasa inakuwaje sheria iliyoweka 15% ianze kufanya kazi kwa watu waliokopa kabla ya sheria...
Wadau habari,
Napenda ifikie wakati tufungua mjadala mpana wa uwepo au kutakuwepo kwa Bodi ya Kitaalamu ya Walimu Tanzania (Tanzania Teachers' Professional Board) TTPB.
Tumekuwa na sintofahamu kadhaa hasa kwa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) kuona TTPB itaongeza utitiri wa vyombo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.