Ipo hivi, mimi ni Mtumishi wa Serikali idara elimu, daraja langu ni E, nakatwa kiasi cha laki Moja na elfu arobain na nane mia tano (148,500/) kwa kila mwezi kama malipo ya deni la Bodi ya Mkopo.
Kwa sasa nikisoma deni langu kupitia salary slip ni millioni tatu na nusu. Katika mazungumzo yangu...