boeing

  1. Korea Kusini: Ndege iliyobeba watu 181 yaacha njia na kugonga ukuta na kuua zaidi ya Watu 167

    Takriban watu 167 wamefariki dunia baada ya ndege moja iliyokuwa imebeba abiria 181 na wafanyakazi 6 kuacha njia ya kurukia (runway) na kubomoa ukuta katika uwanja wa ndege nchini Korea Kusini. Inasemekana watu wawili (2) wameokolewa kwenye ajali hiyo huku hali za watu wengine waliokuwemo...
  2. X

    Boeing imepata hasara kubwa, yaamua kupunguza wafanyakazi 17,000 na kusimamisha uzalishaji wa baadhi ya matoleo ya ndege zake

    Oct, 11, 2024 "Tunalazimika kupunguza idadi ya wafanyakazi wetu ili kuendana na uhalisi wa hali yetu ya kifedha." —Kelly Ortberg (Boeing CEO) Wafanyakazi watakaopunguzwa ni 17,000 ambayo ni sawa na 10% ya wafanyakazi wote. Na hii itaathiri wafanyakazi katika ngazi zote kuanzia executives...
  3. X

    Boeing wamefeli tena. Safari ya siku 8 imekuwa ya miezi 8

    Ni habari yenye kuhuzunisha masaa kadhaa yaliyopita Boeing Starliner imeshindwa kuwarudisha duniani wanaanga wawili waliopelekwa kwenye Kituo cha Kimataifa cha Anga za Juu, International Space Station (ISS) Ikumbukwe kuwa wanaanga hawa Barry Wilmore (M) na Sunita Williams (F) walienda na...
  4. Boeing wanalazimishwa kuzirudisha na kuzifanyia ukaguzi ndege za 787 Dreamliner

    Habari wadau, Wakati jana tumepokea ndege nyingine mpya ya ATC,Boeing 787 Dreamliner, mamlaka ya anga ya America,US FAA, wameitaka kampuni ya Boeing kuzirudisha (recall) ndege zote aina hiyo iliyotua jana Zanzibar ili zifanyiwe kwanza uchunguzi wa kina na marekebisho. Amri hiyo imekuja...
  5. Wanaanga walioko ISS washindwa kurudi ardhini. Mlango wa Boeing hautaki kufunguka

    Wanaanga wawili wa kimarekani kutokea shirika la anga la NASA wameshindwa kurudi nyumbani kwa wakati kutokana na chombo walichotumia kufika huko cha Starliner kilichotengenezwa na kampuni ya boeing kuwa na hitilafu kadhaa. Hitilifu kubwa zaidi ni mlango wa kutokea na kuingilia kugoma...
  6. Jamaa alibadili boeing kuwa nyumba ya kuishi

    Anaitwa Campbell huko Oregon nyumba hiyo akawa anaishi kuanzia mwaka 1999 na kama una event yako unaweza kukodisha.. Nzuri Sana tazama picha zake.
  7. Boeing admitting to falsifying records related to the inspection of its 787 Dreamliner plane is extremely damaging for the company

    Boeing has admitted that its Employees falsified aircraft records for the 787 Dreamliner.This is an extremely dangerous anomaly, especially with regards to safety.Given this extremely disturbing exposé,Boeing's market share will likely plummet, as consumer confidence in Boeing drops Tue, May 7...
  8. Nilishiriki mapokezi ya ndege boeing 737 - MAX 9

    Nilifanikiwa Kushiriki Kwenye Mapokezi Ya Ndege Mpya (Boeing 737 - Max 9) Ya Shirika La Air Tanzania (Air Tanzania Company Limited) Ambapo Mgeni Rasmi Katika Mapokezi Hayo Alikuwa Waziri Mkuu, Mheshimiwa Kassim Majaaliwa, Kwa Niaba Ya Mheshimiwa Rais. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Kutokana na...
  9. Mfanyakazi wa zamani wa Boeing aliyekuwa akikosoa ubora wa ndege hizo akutwa amefariki nchini Marekani

    Bwana Barnett alifanya kazi kwa kampuni kubwa ya ndege ya Marekani kwa miaka 32, hadi alipojiuzulu mwaka wa 2017 kwa sababu za afya. Tangu mwaka wa 2010, alifanya kazi kama meneja wa ubora katika kiwanda cha North Charleston kinachotengeneza Dreamliner ya 787, ndege ya kisasa sana inayotumiwa...
  10. Serikali: Mtambo wa Megawati 20 mfano wa Injini ya Boeing 747 umewasili kutatua changamoto ya umeme Mtwara na Lindi

    Serikali imesema imeendelea kutekeleza ahadi ya kupeleka umeme wa uhakika katika mikoa ya Lindi na Mtwara, ambapo Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba ameongoza mapokezi ya mtambo wa Megawati 20 utakaozalisha umeme kwa kutumia Gesi Asilia, mchakato ambao umefanyika...
  11. Boeing yaagiza Mashirika yaliyonunua Ndege za toleo la "MAX" kufanya ukaguzi wa Mfumo wa Rudder

    Kampuni ya kuunda Ndege za Boeing imehimiza mashirika ya ndege duniani kufanya ukaguzi wa ndege za 737 Max kutafuta "Bolt inayowezekana kuwa imelegea" katika mfumo wa udhibiti wa rudda, tatizo jipya la ubora linaloathiri ndege inayouza zaidi ya mtengenezaji huyo. Kampuni hiyo iliagiza ukaguzi...
  12. Dkt. Mpango: ATCL ishughulikie tatizo la kuahirishwa au kusogeza mbele muda wa kuanza safari za Ndege zake

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango akipokea ndege ya Abiria, Boeing 737-Max 9, leo Oktoba 3, 2023. https://www.youtube.com/live/lIJPqsglTiw?si=Vn-aBGEGe5ORDlfh === Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango amesema bado kuna malalamiko ya wateja wa ATCL...
  13. L

    China yaweza kutembea kifua mbele na kuingia kwenye ushindani na makampuni ya kutengeneza ndege kama vile Boeing na Airbus

    Sekta ya utengenezaji ya China imekuwa ikipewa kipaumbele na kuangaliwa kwa jicho la kuona mbali tangu kuwepo kwa utawala wa Chama cha Kikomunisti cha China. Kitakwimu pato la jumla la viwanda vya utengezaji mara nyingi limekua kwa kiwango cha zaidi ya asilimia 10 kila mwaka, na nguvu kazi ya...
  14. Je, ndege ya Air Force One, gari la the beast na ndege 6 za Boeing zinamlindaje Rais wa Marekani?

    Je, ndege ya Air Force One, gari la the beast na ndege 6 za Boeing zinamlindaje Rais wa Marekani? Viongozi wakuu duniani watasafiri hadi India kwa Mkutano wa nchi 20 zilizoendelea kiviwanda G20, ambapo ulinzi umeimarishwa. Rais wa Marekani Joe Biden atawasili nchini India kushiriki katika...
  15. Boeing yasimamisha uagizaji wa "aluminium" kutoka Urusi, yaani Mrusi anakandamizwa kote

    Anguko la uchumi wa Urusi ni dhahiri, mpaka wakome Boeing said it stopped buying Russian aluminum in March after suspending operations in Russia. It's the second crucial metal Boeing has stopped buying from Russia, Reuters first reported. Boeing told Insider it sourced the metal from other...
  16. Kumbe Rais Putin anatumia Boeing. USA hakwepeki

  17. Boeing imesitisha usambazaji wa Vifaa, matengenezo na usaidizi wa kiufundi kwa Mashirika ya Ndege ya Urusi

    URUSI: Kampuni ya kutengeneza Ndege ya Marekani ya Boeing (BA.N) imesema inasitisha usambazaji wa Vifaa, matengenezo na usaidizi wa kiufundi kwa Mashirika ya Ndege ya Urusi ikiwa ni sehemu ya vikwazo vilivyowekwa kutokana na uvamizi wa Urusi dhidi ya Ukraine. Marekani imesema itafuata Uamuzi wa...
  18. S

    Kweli Tanzania kutumia shilingi trilioni 1.7 kununua ndege?

    Someni hii:
  19. How Kenyan Rose to Become Boeing's Advance Product Support Leader and Adjacent Program Manager

    Samuel Ndaro with his family at the Boeing officers FILE Samuel Ndaro rose from life in the lowly estate of Buxton in Mombasa to a manager at Boeing, one of the largest plane manufacturers in the world. According to his LinkedIn profile, Ndaro holds two managerial roles at Boeing as the Advance...
  20. Indonesia: Ndege aina ya Boeing 737 jet iliyokuwa na watu 62 yapata ajali na kupotelea ndani ya bahari

    Sriwijaya Air,Ndege ya abiria ya Indonesia ambayo iliripotiwa kupoteza mawasiliano mda mfupi baada ya kupaa kutoka uwanja wa ndege wa Jakarta,imeanguka ikiwa na abiria 62, Wizara ya usafirishaji ya Nchi ya Indonesia imethibitisha. Mashuhuda wanasema wameiona Ndege ikilipuka karibu na Kisiwa cha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…