Boeing imekubali kulipa faini ya Dola bilioni 2.5 sawa na takriban Tsh. Trilioni 5.7 kwa kosa la kuficha taarifa za kiusalama za ndege 737 Max ambayo ilipata ajali na kuua watu 346
Sehemu ya fedha hiyo italipwa kama fidia kwa familia zilizoondokewa na wapendwa wao katika ajali iliyotokea...
The aircraft involved was a Boeing 727-223 manufactured in 1975 and formerly operated by American Airlines for 25 years. Its last
owner was reported to be Miami-based company Aerospace Sales & Leasing. [2] While on lease to TAAG Angola Airlines it had been
grounded and sat idle at Luanda for 14...
Simba Sc klabu " Baba la Baba " likiwa linakwenda cheza mechi za kimataifa huko Nigeria na Plateu FC, inatarajia kuondoka Leo 24-11-2020 11:45 jioni kutokea Mkoa uliotengwa kimaendeleo kwa wivu wa flani [KILIMANJARO] kwa ndege ya KENYA AIRWAYS.
Simba Fc watapita Nairobi na baadae wata-unga...
Kampuni ya huduma za ndege ya Boeing inarajia kupunguza waajiriwa kwa 10% ambayo ni takribani waajiriwa 16,000 wataguswa na zoezi hilo
Hii imekuja baada ya kampuni hiyo kupata hasara kutokana na janga la #CoronaVirus. Uhitaji wa huduma za ndege umepungua kwa kiasi kikubwa
Boeing imepata hasara...
Iran imesema kuwa imemkamata mtu aliyerekodi kipande cha video kinachoonesha tukio la kutunguliwa kwa ndege ya abiria ya Ukraine.
Inaaminika, mtu anayeshikiliwa atakabiliwa na mashtaka yanayohusiana na usalama wa taifa.
Ndege ya Ukraine PS752 iliangushwa muda mchache baada ya kupaa kutoka...
Iran imetangaza kuwa jeshi lake "bila kukusudia" liliitungua ndege ya Ukraine, iliyoanguka na kuua watu wote waliokuwemo ndani yake huku wengi wao wakiwa ni raia wa nchini Iran.
Taarifa hiyo mnamo Jumamosi asubuhi inalaumu "kosa la kibinadamu" lililofanyika katika tukio hilo.
Ndege ya Ukraine...
Maafisa kutoka nchini Marekani wamedai kuwa ndege ya abiria ya Ukraine Boeing 737-800 iliyoanguka nchini Iran ilitunguliwa kwa kombora la Iran.
Wakati huohuo Pentagon kupitia afisa wa juu wa masuala ya kiintelijensia pamoja na afisa mwingine wa masuala ya kiintelijensia wa Iraq wamenukuliwa...
Je kufutwa kazi kwa Mkuu wa Boeing ndio suluhu ya matatizo ya 737?
Boeing imemfuta kazi Mkurugenzi Mkuu Mtendaji wa kampuni hiyo, Dennis Muilenburg, katika hatua ya kurejesha imani ya kampuni hiyo baada ya ajali mbili mbaya zilizohusisha ndege yake ya 737 Max.
Zaidi ya watu 340 walikufa...
Kampuni inayotengeneza ndege ya Boeng imetangaza kusitisha uzalishaji wa ndege aina ya 737 Max kuanzia mwezi Januari mwaka ujao, pamoja na sababu nyingine ili kuweza kupata ridhaa ya kiusalama kutoka kwa mamlaka za udhibiti kwa lengo la kufanikisha kuirejesha tena aina hiyo ya ndege angani...
Kampuni ya Boeing itasimamisha kwa muda uzalishaji wa ndege zake zilizokumbwa na matatizo za 737 Max mwezi Januari.
Utengenezaji wa ndege hizo ulikuwa ukiendelea licha ya ndege za chapa hiyo kuzuiwa kupaa kwa mezi tisa baada ya kuhusika katika ajali mbili zilizosababisha vifo vya mamia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.