Kampuni inayotengeneza ndege ya Boeng imetangaza kusitisha uzalishaji wa ndege aina ya 737 Max kuanzia mwezi Januari mwaka ujao, pamoja na sababu nyingine ili kuweza kupata ridhaa ya kiusalama kutoka kwa mamlaka za udhibiti kwa lengo la kufanikisha kuirejesha tena aina hiyo ya ndege angani...