bola tinubu

  1. Ziroseventytwo

    Video: Rais Tinubu wa Nigeria akiwa ziarani Ufaransa

    Akitembea kwenye red capet
  2. BARD AI

    Rais Bola Tinubu afunguliwa Kesi ya kumtaka aweke wazi Mali anazomiliki

    Rais Bola Tinubu ambaye anakaribia kutimiza mwaka tangu aingie Madarakani, ametakiwa kuweka wazi tamko Mali zake zote anazomiliki ikiwa ni njia ya kuonesha Uwajibikaji kwa Viongozi wa Umma Taasisi ya Haki za Kiuchumi na Uwajibikaji (SERAP) imemshtaki Rais Tinubu na kumtaka aweke wazi Fomu ya...
  3. BARD AI

    Wananchi wa Nigeria wapinga Uwanja wa Ndege kupewa jina la Rais Bola Tinubu

    NIGERIA: Wananchi kutoka katika jimbo la Niger wamepinga uamuzi wa Serikali kubadili jina la Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Minna na kuuita jina la Rais Bola Tinubu kwa maelezo ya kutambua mchango wa kiongozi huyo katika maendeleo ya jimbo hilo. Pia, Msemaji wa Serikali ya Jimbo hilo, Hajia...
  4. BARD AI

    Dakika chache baada ya kuapishwa, Rais wa Nigeria afuta Ruzuku ya Mafuta

    Rais mpya wa Nigeria, Bola Tinubu ametumia hotuba yake ya kwanza baada ya kuapishwa kutoa tangazo kuu la kuondoa ufadhili serikali kwenye mafuta ikiwa ni sera zake mpya ili kupunguza shinikizo la kiuchumi. "Ruzuku ya mafuta haipo," aliuambia umati uliojaa katika mji mkuu, Abuja. Alishinda...
  5. Roving Journalist

    Rais Samia ashiriki Sherehe za Kuapishwa Rais Mteule wa Nigeria, Bola Tinubu, Mei 29, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule wa Nigeria Mhe. Bola Tinubu katika Eagle Square Abuja chini Nigeria leo tarehe 29 Mei, 2023. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Uwanja wa...
  6. benzemah

    Rais Samia Kuhudhuria Sherehe za Uapisho wa Rais Mteule wa Nigeria Bola Tinubu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Heshima kutoka kwa Jeshi la Jamhuri ya Nigeria mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nnamdi Azikiwe Abuja nchini Nigeria tarehe 28 Mei 2023 kwa ajili ya kuhudhuria Sherehe ya kuapishwa Rais Mteule...
  7. BARD AI

    Vikwazo 5 vinavyomsubiri Ofisini Rais Bola Tinubu wa Nigeria

    Mei 29, 2023, Taifa la #Nigeria, lenye utajiri wa Dola Bilioni 441 GDP na idadi kubwa ya Watu Barani #Afrika (Milioni 223), litashuhudia kuapishwa kwa Rais Mpya, #BolaTinubu na Makamu wake #KashimShettima Pamoja na ukubwa wa Uchumi wake, bado Nchi hiyo imekosa utulivu katika maeneo mengi...
  8. Lady Whistledown

    Nigeria: Tinubu kuapishwa licha ya uwepo wa kesi za kupinga ushindi wake Mahakamani

    Waziri wa Habari, Lai Mohammed anasema Rais mteule Bola Tinubu ataapishwa tarehe 29 Mei licha ya kesi Mahakamani kupinga ushindi wake Wagombea Wanne wa Urais waliwasilisha mapingamizi ya kisheria tarehe 21 Machi dhidi ya ushindi wa Tinubu, kwa madai kuwa kulikuwa na wizi wa kura na udanganyifu...
Back
Top Bottom