Kigali, Rwanda
RUFANI KESI YA BOMBA LA MAFUTA -EACOP ,YAFIKA MBELE YA KORTI YA AFRIKA YA MASHARIKI
https://m.youtube.com/watch?v=er6WZpHyj1I
Mahakama ya Haki ya Afrika Mashariki Yasikiliza Rufaa ya Asasi za Kiraia Kupinga Kufutwa kwa Kesi Dhidi ya Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika...
Wafanyakazi wa wanaojihusisha na ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) Mkoani Singida wamedai haki zao katika Mifuko ya Jamii (NSSF) pamoja na kodi wanayokatwa ifike katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) ambapo kwa sasa haifiki kwa wakati kutoka katika Kampuni ya Nantong...
Leo tena katika kuperuzi YouTube nakutana na video za wanaharakati wa kupinga mradi wa EACOP.
Hizi vidéo ni za karibuni kama wiki tu imepita na inaonekana hiyo Channel iliyoziposti kuanzia mwezi uliopita imeposti habari ya madhara na hasara za mradi wa EACOP.
Who is behind these so called...
Habari niweza ule mradi mkubwa wa serikali wa bomba la mafuta kutokq Uganda mpka Tanga ,Tanzania umefikia wapi maana naona kimya.
Awali mwanzo kabisa wakati Magufuli yupo wakati anazindua mwaka 2017 ilikuwa mradi umalizikie 2021 ila mpaka sasa 2024 sijaoata update yeyote.
Mwenye majibu...
Mradi wa pamoja wa mafuta kati ya Tanzania na Uganda, maarufu kama Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP), umekumbwa na changamoto za kifedha. Mradi huu, unaotekelezwa kwa ushirikiano na kampuni za kimataifa TotalEnergies na China National Offshore Oil Corporation (CNOOC)...
Mama Samia atakumbukwa vizazi na vizazi kwa wema wake na kubadili maisha ya Watanzania wengi maskini
Faida moja wapo ya BOMBA LA MAFUTA ni KUGUSA MAISHA YA WATU.
Waandamanaji hao walilenga kuwasilisha malalamiko yao katika ubalozi wa China mjini Kampala kupinga uhusika na ufadhili wa nchi hiyo wa mradi huo.
Mradi huo ujulikanao kama EACOP umeendelea kupingwa na wanamazingira na wanaharakati wa haki za binadamu ndani na nje ya Uganda.
Na hiyo ndiyo...
MBUNGE AISHA ULENGE KATIKA KONGAMANO LA WANAWAKE NA MANUNUZI YA UMMA NA FURSA ZA KIBIASHARA KWENYE BOMBA LA MAFUTA
Mbunge wa Viti Maalum (Wanawake) Mkoa wa Tanga, Mhe. Aisha N. Ulenge ameshiriki Kongamano la Wanawake na Manunuzi ya Umma na Fursa za Kibiashara kwenye Bomba la Mafuta...
Meli kubwa ya kwanza MV Innovation Way kutoka Umoja wa Falme za Kiarabu iliyobeba mitambo kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP).
kutoka Hoima, Uganda hadi mkoani Tanga.
imewasili katika bandari ya Tanga.
Meli hiyo imebeba mitambo kwa ajili ya...
Wizara ya Nishati Tanzania imeanz amajadiliano na Mawaziri kutoka Tanzania na Zambia kitakachojadili ushirikiano baina ya nchi hizi mbili katika ulinzi na usalama wa Bomba la Mafuta la TAZAMA na sekta ya nishati kwa ujumla wake.
katika kikao hicho kitaongozwa na Wawaziri January Makamba na...
Kampuni ya EACOP imeanza usajili na mafunzo ya online kwa wiki 8 yatakayofwatiwa na mtihani wiki ya 9 kwa ajili ya kupata vijana 140 wenye umri kati ya miaka 18-28 watakaoshiriki katika mlolongo wa mafunzo yenye nia ya kupata wafanyakazi watakaoajiriwa wakati wa uendeshaji (operation &...
Supapawa anaendelea kupigwa ndani kwake....tena ndani ndani kule alikosema siku kukiguswa atafanya kitu....na kweli alijaribu kufanya kitu kwa kutuma mizinga ya hypersonic yote ikashushwa na Patriot.
===================
Ukraine struck oil pipeline installations deep inside Russia on Saturday...
Mradi wa Bomba la mafuta ghafi unaojengwa kutoka Hoima nchini Uganda kupitia Tanznaia hadi Chongoleani mkoani Tanga umetajwa kutoa ajira zaidi ya 3,000 ikiwemo 300 za kudumu hapa nchini
Mradi huo utakaokuwa na urefu wa zaidi ya Kilometa 1147 mbali na ajira utatoa pia fursa mbalimbali za ajira...
Kuna mambo huwa yanapita bila kuhojiwa japo huwa yanazunguka kwenye vichwa vya watu.
Mojawapo ni jamaa waliounga bomba la mafuta la kigamboni hii issue ni ya uhujumu uchumi japo ni kama iliisha kirahsi rahsi kwa mtazamo wangu. Nitafurahi kama kuna anaejua hili nalo liliishaje.
Ama ukiona hili...
Habari za muda huu
Naomba kujuzwa, hivi kampuni inaposema tunatoa mshahara mnono kwa nafasi ya ulinzi inaweza ikawa kama Tshs ngapi ?
Mana nimeona tangazo la kazi ya ulinzi katika mradi wa bomba la mafuta na wameandika tunatoa mshahara mnono
Naomba kwa wenye uzoefu wanisaidisme kunijuza...
Ninaandika kwa mara nyingine kuhusu jambo hili ambalo wengi wenu hamtapenda kulisikia. Naandika kama mzalendo kwa nchi yangu Tanzania na sina interest nyingine yoyote kibiashara katika jambo hili. Naandika kwa kifupi tu hapa.
Ukweli ni kwamba dunia inakwenda kwa kasi sana. Mambo ya climate...
Ilikuwa ni furaha na tabasamu kwa wanakijiji 10 wa Nkomelo wilayani Muleba mkoani Kagera baada ya kukabidhiwa nyumba zao mpya zkama sehemu ya fidia kwa ajili ya kupisha ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) linalotarajiwa kuanza ujenzi baadae mwaka huu.
Nyumba hizo...
Wanaharakati mjini Paris Jumatano waliandamana dhidi ya Benki 2 zinazohusika katika ufadhili wa mradi wa mafuta wenye utata katika Afrika Mashariki, sehemu ya maandamano yanayoratibiwa katika miji kadhaa duniani kote.
Takriban wanakampeni vijana 30 kutoka kundi la Stop Total waliandamana mbele...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetoa kibali cha Ujenzi wa Bomba la Mafuta kutoka Mtukula hadi Tanga lenye urefu wa km 1147.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), James A. Mwainyekule amesema EWURA imetoa kibali cha Ujenzi wa...
CNOOC International, kampuni ya Mafuta na Gesi ya China ambayo inamiliki hisa za uchimbaji Mafuta nchini Uganda, imesema mradi huo utatekelezwa kama ulivyopangwa, licha ya mvutano wa Tanzania, Uganda na Bunge la EU.
Makamu wa Rais wa CNOOC, Dan Shao amesema walichokuwa wanahitaji ni msimamo wa...