bomba la mafuta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Opportunity Cost

    Ujenzi wa Bomba la Mafuta la Uganda.Watanzania tuchangamkie fursa badala ya kulalamikia Serikali.

    Habari Wakuu. Kwa mujibu wa EWURA wanaoratibu kampuni zitakazoshirikishwa kwenye ujenzi wa Bomba la Mafuta la Uganda kutoka Hoima hadi Tanga,wameinesha kusikitishwa na muamko mdogo wa kampuni za Kitanzania zilijitokeza kusajiliwa. Licha ya usajili kuwa bure na elimu kutolewa lakini ni...
  2. K

    Mradi wa Bomba la Mafuta kulikoni?

    Maisha ya Tanzania yamejawa na matukio leo uraiani kesho Serikalini kama sio huku basi itatokea Kanisani au kwenye Chama cha Siasa. Bahati mbaya mambo ya msingi hayatiliwi maanani kabisa. Hebu fikiria suala la Tozo za Miamala hatima yake haijulikani. Kama ulimsikia Spika wa Bunge utajua...
  3. Analogia Malenga

    Dkt. Kalemani: Watazania 15000 wataajiriwa katika ujenzi wa bomba la mafuta

    Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amewataka Wananchi watakaopitiwa na ujenzi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kujitokeza na kuzitumia fursa mbalimbali ambazo zitapatikana wakati wa ujenzi wa bomba hilo Dkt. Kalemani amesema watanzania zaidi ya 15,000 wataajiriwa katika...
  4. K

    Nairudisha Bandari ya Bagamoyo ukumbini, nikiiunganisha na ujenzi wa Bomba la Mafuta (EACOP)

    Ujenzi wa Bomba la Mafuta toka Hoima hadi Tanga, ni "Joint Venture", na tumekwishashuhudia hatua zote zinazohusika na mradi huo zinavyoandaliwa na kupata maelezo namna mradi utakavyotekelezwa. Haya mambo kwa sehemu kikubwa yamewekwa wazi, na hatujashuhudia kelele nyingi zikipigwa toka kwenye...
  5. RWANDES

    Nani yuko nyuma ya hujuma dhidi ya Bomba la Mafuta la Kigamboni?

    Kutokana hali iliyopo sasa, ikumbukwe kwamba mkuu wa mkoa Dar es Salaam, Amos Makalla juzi alikuta bomba la mafuta wilaya ya Kigamboni watu ambao hakuwagaja wamejiunganishia mafuta cha ajabu yeye alikamata watu mbalimbali na kusema kwamba ataunda kamati juu ya suala hilo. Tangu azungumzie swala...
  6. Mshana Jr

    Uchambuzi: Bomba la mafuta ya wizi Ungindoni, Kigamboni

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya muunganiko! MATAGA pia natumai hamjambo! Rejea mada hii: BLINDSPOT: Uchochoro wa kupiga popote Kukamatwa kwa bomba hili kwa bahati nasibu tuu ni mwendelezo wa ufunuo wa udhaifu wa serikali ya awamu ya tano iliyojinasibu kudhibiti wizi, rushwa, upigaji na...
  7. Q

    Ni mara ya 6 tunashuhudia utiaji saini bomba la mafuta Hoima - Tanga

    Aug 5. 2017 Museveni alikuja Tanga kuweka jiwe la msingi, baadaye JPM alienda Uganda kusaini, September 2020 Museveni alikuja Dar kutia saini, Museveni akaja tena Chato kusaini, April 11, 2021 Rais Samia akaenda Uganda kusaini, jana Mseveni kaja tena Dar kusaini. Dah! Kazi iendelee...
  8. Linguistic

    Ikulu Dar: Rais Yoweri Museveni na Rais Samia Suluhu washuhudia utiaji saini wa mikataba ya utekelezaji wa mradi wa bomba la mafuta

    Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 20 Mei, 2021 atafanya ziara ya kikazi ya siku 1 hapa nchini kwa Mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. Akiwa hapa nchini Mhe. Rais Museveni na Mhe. Rais Samia watashuhudia utiaji saini wa...
  9. N

    Fursa Kwenye Mradi wa bomba la Mafuta - Hoima Kwenda Tanga

    Ndugu wadau.. Kutokana na fursa zilizopo kwenye ujenzi wa bomba la mafuta toka Hoima kwenda Tanga.. Naomba kupata uzoefu wenu kuweza kujua namna ya kuweza kushiriki kwenye hiyo keki.. Ninahusika na biashara za bima .... ambavyo najua kutakuwa na fursa mbalimbali za kushiriki kwenye mradi...
  10. Kinuju

    Bomba la mafuta la Afrika Mashariki: Diplomasia ya uchumi ya urithi wa Hayati Magufuli na mapato ya Tsh 76.32bn kwa mwaka

    BOMBA LA MAFUTA LA AFRIKA MASHARIKI: DIPLOMASIA YA UCHUMI YA URITHI WA JPM NA MAPATO YA TSH 76.32bn KWA MWAKA Mnamo Septemba 27, 2020 Uganda na Tanzania ziliingia makubaliano kupitisha Bomba la Mafuta ya Afrika Mashariki kutokea Hoima (Uganda) hadi Bandari ya Tanga (Tanzania). Hii ni moja ya...
  11. Mathias Byabato

    Fursa Bomba la Mafuta kwa watanzania-UPDATES

    Wakuu. Tanzania na Uganda zimesaini mkataba wa mwisho kuanza ujenzi wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi Chongoleani bandari ya Tanga nchini Tanzania . Ni heshima Kubwa nchi yetu ya Tanzania kupata fursa hii ya bomba la mafuta kupita nchini Tanzania ambao utapita mikoa 8, Wilaya...
  12. Shing Yui

    Bomba la mafuta kati ya Tanzania na Uganda lakabiliwa na changamoto za kisheria

    Wataalamu wa sheria hebu tasaidieni ===== Bomba la mafuta kati ya Uganda na Tanzania lakabiliwa na changamoto ya kisheria. Mashirika manne yasiyo ya kiserikali yamekwenda kwenye mahakama ya Afrika Mashariki ili kuzuia ujenzi wa bomba la mafuta la Afrika Mashariki EACOP uliofanywa na Uganda na...
  13. D

    Kwanini barabara zilizopitiwa na bomba la mafuta na gesi Tanzania ni mbovu namna ile?

    Ebu wataalam tuelimisheni! Ipi siri ya ubovu wa barabara zilizochini ya umiliki wa TAZAMA na GESI ASILIA? Ina maana huwa haziingizwi kwenye bajeti ya TARURA/TANROAD? Nani anawajibika kuzifanyia matengenezo? Zitakaa na uchakavu wa namla ile hadi lini? Ipi haswa sababu ya msingi kuwa chakavu...
  14. M

    Je, bomba la mafuta kutoka Uganda litapita kwenye maeneo ya hifadhi za barabara yetu?

    Mwaka 2017 rais Museveni kupitia mitandao ya kijamii alitoa taarifa kuwa lile bomba la mafuta litakaotoka nchini mwake kupitia Tanzania litaweza kupita kwenye baadhi ya maeneo nchini ambayo ni hifadhi ya barabara zetu Majuzi hapa baada ya kukutana kwa raisi Museveni na Magufuli wamekubaliana...
  15. 2

    Naombeni msaada wa connection ya kazi kwenye Bomba la Mafuta

    Habarini ndugu zangu, Naombeni connection ya kazi kwenye mradi mpya wa bomba la mafuta linalotoka Uganda kuja Tanga-Tanzania, elimu yangu ni Degree ya Information Technology ila kazi zozote zile nitafanya hata kama ni nje ya fani yangu. Mwenye connection naombeni anisaidie ndugu zangu nipo...
  16. JOYOPAPASI

    Heko nyingine ya Rais Magufuli kwenye kupigania maslahi ya Tanzania: Kisa cha bomba la mafuta kutoka Hoima, Uganda hadi Tanzania

    HEKO NYINGINE YA RAIS MAGUFULI KWENYE KUPIGANIA MASLAHI YA TANZANIA: KISA CHA BOMBA LA MAFUTA KUTOKA HOIMA, UGANDA HADI TANZANIA Na Bwanku M Bwanku Jumapili Septemba 13 mwaka huu tulishuhudia tukio kubwa la kihistoria la kiuchumi, ustawi wa watu, undugu na maendeleo ya nchi yetu kwa kushuhudia...
  17. K

    Magufuli, Museveni wakubaliana kuufufua mradi wa Bomba la Mafuta

    July 31, 2020 Rais John Magufuli na mwenzake wa Uganda, Yoweri Museveni wamekubaliana kurejesha kwenye Ikulu zao mchakato wa kutandaza bomba la mafuta ghafi la Afrika Mashariki. Bomba hilo linaloanzia Hoima, Uganda na kuishia Chongoleani, Tanga nchini Tanzania, limekwama baada ya kuwepo kwa...
Back
Top Bottom