bomu la nyuklia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Iran wanaweza kuunda bomu la nyuklia kwa muda wa wiki2 hadi mwezi mmoja! Lakini hawana nafasi

    Madhara ya hii vita Kama itasimamishwa basi Iran itafanya kila iwezalo kuunda bomu Kwa haraka haraka kama material yote yapo wanaweza kutumia wiki2 hadi mwezi mmoja. Tatizo ni muda Israel hampi Iran apumue anaharibu siraha zote na viwanda vinapigwa kiberiti. Israel anaelewa kama akimuachia...
  2. JamiiForums Tanzania Kama binadamu ametengeneza Bomu la nyuklia kwanini asiwe ndio kiumbe hatari zaidi Duniani

    Wakuu karibuni tuchemshe bongo. Source ya picha ni BBC Watu wa imani wanasema binadamu aliumbwa na Mungu na alipewa akili ya kutawala kila kitu yaani viumbe wote. Sasa hapo juu ndio list ya wanadamu wanaouliwa na viumbe hawa tuliopewa nguvu ya kuwatawala. SWAL I: Je, Ni kiumbe gani chini ya...
  3. JamiiForums Tanzania Pentagon kuja na Bomu la Nyukilia lenye nguvu mara 24 zaidi ya lile la Hiroshima, Japan

    Idara ya Ulinzi ya Marekani imetangaza kuja na bomu jipya la nyuklia, B61-13, ambalo litakuwa na nguvu mara 24 zaidi ya lile lililoangushwa huko Hiroshima wakati wa Vita vya Pili vya Dunia mwaka 1945. Bomu hilo jipya la nguvu ya nyuklia la B61-13 lililopendekezwa na Marekani litabebwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…