Iran wanaweza kuunda bomu la nyuklia kwa muda wa wiki2 hadi mwezi mmoja! Lakini hawana nafasi

Iran wanaweza kuunda bomu la nyuklia kwa muda wa wiki2 hadi mwezi mmoja! Lakini hawana nafasi

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
3,104
Reaction score
4,574
Madhara ya hii vita

Kama itasimamishwa basi Iran itafanya kila iwezalo kuunda bomu
Kwa haraka haraka kama material yote yapo wanaweza kutumia wiki2 hadi mwezi mmoja.

Tatizo ni muda Israel hampi Iran apumue anaharibu siraha zote na viwanda vinapigwa kiberiti.
Israel anaelewa kama akimuachia hapa atakua ni hatari zaidi.

Ni sawa na nyoka ambae amenusurika kuuwawa anakua mkali sana.

Israel haiwezi kusimamisha vita hadi wapage kichwa cha MADUSA
 
Kimemkuta ayatollah
 

Attachments

  • IMG_0327.jpeg
    IMG_0327.jpeg
    165 KB · Views: 27
Back
Top Bottom