Jumuiya Ranchi hizo (Uraa) imepinga taarifa ya kuhusika kwake na operesheni zinazozuia maji kuingia kwenye Mto Ruaha Mkuu, na kutishia kumshitaki Deodatus Balile aliyewahusisha na sakata hilo.
Mapema wiki hii kwenye hafla ya mazingira mbele ya Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango mjini Iringa...
Makamu wa Rais, Dk Phillip Mpango ameagiza kushughulikiwa kwa watu zikiwamo familia 12 za viongozi waliovamia na kuchepusha maji Bonde la Ihefu.
Amekemea uchepushaji huo kwani umesababisha kutotiririka kwa Mto Ruaha Mkuu kwa zaidi ya siku 130 sasa hivyo kuhatarisha maisha ya viumbe hai na...
Naibu Waziri Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Ridhiwani Kikwete amesema wanachukua hatua hiyo ili kulinda Mazingira na Kunusuru vyanzo vya Maji.
Amesema wale ambao watafuatwa kwenye maeneo yao, Serikali itawafidia lakini hawatakuwa tayari kuona ukame ukiendelea katika Mabonde hayo...
Sijui kama napaswa kuiandika hii. Watu wengine wataona labda siyo muhimu.
Lakini hii imetokea juzi. Huyu mwanamke alikuwa anatembea katika bonde la Msimbazi,pale kutoka Msimbazi Center kuelekea njia panda ya Kigogo,akaanguka akafa,mwenyewe tu, without any prodding.
Basi watu wakakasirika...
Wakuu wa Jukwaa
Kama mada ilivyo hapo juu, miaka kadhaa iliyopita kwenye awamu ya tano wavamizi wote wa bonde la Msimbazi na Jangwani waliondolewa, nyumba kuvunjwa ikielezwa walikiuka sheria hivyo kusababisha uchafuzi wa mazingira uliokithiri.
Baada ya muda zoezi hilo kufanyika uoto wa asili...
OPERESHENI ONDOA WAVAMIZI KATIKA BONDE LA WAMI/RUVU imeanza ambapo Wafugaji wanaodaiwa kuwa ni wavamizi wamekutwa na ng’ombe zaidi ya 400 kwa siku ya leo tarehe 14-10-2022.
Wameondolewa katika Kijiji cha MSONGE ambapo waliweka KAMBI, pembezoni mwa Mto Ruvu. Askari kadhaa wakiwa na silaha za...
Kamatiya Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (TANAPA), wameanzisha oparesheni maalumu ya kuondoa zaidi ya mifugo 200,000 iliyovamia eneo la ardhi oevu ya Bonde la Ihefu ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Ruaha wilayani Mbarali.
Mifugo hiyo iliyoingizwa...
Kuna kelele nyingi sana kufuatia dhamira njema ya serikali ya kuwaondoa wamasai kwenye pori tengefu la Loliondo.
Kwanini wamasai wa Loliondo wanataka wawe na special treatment nchi hii?
Awamu ya 4 iliwaondoa wafugaji maeneo ya bonde la Usangu, Ihefu, na Ujiji lkn hakuna aliyepiga kelele. Why??
THE ONE AND ONLY HAJI SUNDAY MANARA
Nimemjua Haji bado mtoto mdogo Mtaa wa Bonde karibu na Msikiti wa Sheikh Idrissa bin Saad.
Baba yake Sunday "Computer," Manara rafiki yangu na sote tunafanyakazi East African Cargo Handling Services (EACHS).
Tumekutana kwenye walima wa mmoja wa wajukuu zetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.