bongo flava

  1. Wasukuma wana mziki mzuri sana wa asili kuzidi hata bongo flava ya sasa na singeli.

    Great Thinkers Hawa jamaa kwenye Kuimba wana dunia yao aisee na havana mpizani hapa Tanzania. 1. Msukuma humwambii chochote kuhusu nyimbo zao za asili, tembelea uskumani kama utakuta singeli never 2. Wana wasanii wao ambao kwa kweli wanaimba vizuri sana kama Elizabeth, kisima, kadochiza...
  2. Kongole kwa huyu mwanadada alieimba wimbo wa watu feki. Ana aina fulani hivi ya style yake ya kipekee na pia muziki wake ni very touching

    Tatizo ni kuwa wabongo tutamtupilia mbali kwa maana haimbi nyimbo zile "paka yangu imeloa, sijui kugonoka, gonokaa" She is a very a talented girl kiukweli. Sauti yake, idea yake ya muziki, na zaidi melody yake https://youtu.be/LAzyvbTyN94?si=UL7j6a8UxkGAquwu
  3. Wasanii wetu igeni Wanaija basi!

    Uzi mfupi tu kuhusu soko la sanaa Tanzania. Wasanii wetu wa muziki ni muda wa kutoka usingizini sasa na kufanya kazi zinazoenda Duniani kama Wanaija. Nimeandika huu uzi baada ya kuona kazi mpya ya Asake - WHY LOVE hii imefuatana na kazi mpya ya Diamond Platnumz - Moyo. Ukisikiliza hizo kazi...
  4. W

    Hit za mwisho walizotoa malegend wa bongo flava, baada ya hapo walirudi level za kawaida na wengine hawakuvuma tena

    Inspector Haroun - Asali wa Moyo Juma Nature - Dance with Me Professor Jay - kipi sijasikia Dully Sykes - Bongo fleva Ray C - Unanimaliza Feruz - Ndege mtini Mwana Fa - Mfalme Ngwea (Rip) - Nipeni dili Chege na Temba - mkono moja Marlaw - Pii pii AY - Leo remix Mr Blue - Baki na mimi TID na...
  5. Wasanii wa Muziki wa kizazi kipya Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii

    Wasanii wa Bongo Flava Mabantu waendelea kuchafua tasnia ya Muziki wa Bongo Flava kwa kutengeneza maudhui yasiyofaa katika jamii Wasanii hawa wanaendelea kutengeneza maudhui machafu yanayozidi kusambaratisha maadili ya Watanzania na Waafrika kwa ujumla kwa kupandikiza vishawishi vya ngono...
  6. Natafuta nyimbo hizi za Old Bongo Flava

    Habari zenu waheshimiwa. Kuna baadhi ya nyimbo nimekuwa nikizitafuta kwa takribani miaka kumi sasa. Nimejaribu kukomenti kwenye kurasa za mitandao ya kijamii ya wasanii husika lakini hawaonyeshi kuwa na msaada. Mwenye nyimbo zifuatazo naomba atume tafadhali. Vyovyote Vile - Ray C (kutoka...
  7. J

    Zanzibar: Mdau aiomba Serikali na Rais Mwinyi kupiga marufuku Bongo Fleva ambazo hazina maadili kuchezwa Zanzibar

    Wanadai Bongo fleva inapeleka mambo machafu Zanzibar. Moja ya wageni walioudhuria Jukwaa la 13 la Biashara Zanzibar ameshauri Serikali ya Zanzibar kuzuia kupigwa kwa baadhi ya Nyimbo za bongo fleva zinazovunja maadaili ya Watu wa Zanzibar. Soma Pia: Fahamu A-Z kuhusu Muungano wa Tanganyika...
  8. TID Afichua: Nilijuta kuwa msanii kutokana na kuzuia nyimbo zangu kwenye Redio kwa Miaka Mitano

    Legend wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed maarufu TID, amefunguka kuhusu majuto aliyoyapata akiwa msanii. Akizungumza kwenye mahojiano na My Reply Show, TID ameeleza kwamba kitendo cha baadhi ya vituo vya Redio kuzuia kucheza nyimbo zake kwa zaidi ya miaka mitano na kukosa matamasha yao amekiri kuwa...
  9. Hivi huyu Rayvanny ndio kashaishiwa?

    Huyu jamaa mbona anatoa nyimbo mbaya sana siku hizi yaani kama msanii chipukizi hii nyimbo yake aliyoiita peponi ni Moja kati ya nyimbo mbaya sana aisee huyu jamaa kashaishiwa anaimba kama anaongea na mtu hapa hamna msanii aisee
  10. Professor Jay: Nipo kamiligado tayari kwa mapambano

    Rapa na Mwanasiasa, Professor Jay ame-share picha hii mpya na kuonesha maendeleo mazuri ya afya yake baada ya kuugua kwa muda mrefu na kuzushiwa kifo mara kadhaa akiambatanisha ujumbe uliowavutia wengi. "Asante sana Mungu kwa zawadi ya uzima, na kunilinda siku zote za maisha yangu. Nipo...
  11. G

    Ni kwanini K Lyn hakupata heshima anayostahili kwa mchango wake mkubwa kwenye Bongo Flava industry?

    Mchango wake kwenye sanaa ya bongo sio wa kubeza lakini alichukuliwa poa. Hakuwa msanii aliebahatisha kutoa Hit moja au mbili akapotea, Alihusika kwenye Hits 5, Ni wasanii wa kike wachache sana waliweza kutoa hits zaidi ya 3 (Ray C, Jide, Enika, n.k.), Sio rahisi !! Zifuatazo ni hits zake 5...
  12. M

    Rayvanny aomba kutolewa katika tuzo za TMA

    Msanii wa muziki Tanzania Rayvanny kupitia ukurasa wake wa instagram ameomba kutolewa kabisa katika tuzo za Tanzania music awards (TMA) amesema kua anaheshimu sana wizara ya sanaa lakini hakubaliani na fitna za watu wachache , hivyo kwa unyenyekevu ameomba kutolewa katika tuzo hizo.
  13. W

    East Coast vs TMK Family nani alikuwa mkali?

    TMK Wanaume Family ni kundi la muziki wa kizazi kipya kutoka Wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam Tanzania. Kundi lilianzishwa rasmi mnamo Septemba 16 2002 mjini Mwanza, wakati wa uzinduzi wa albamu ya Juma Nature iitwayo Ugali na hadi sasa limejijengea umaarufu katika albamu zake mbili...
  14. Vitu ambavyo sijapenda kutoka picha mpya za Zuchu

    Zuhura sijapenda kabisa. Kwa nini unaruhusu wakuuedit ili kufanya ngozi yako ionekane ni nyeupe Wakati sio kweli, Ivi kwani na wewe unaamini uzuri wa mwanamke upo kwenye rangi ya ngozi yake? Kinini wamekufanya hao Wazungu mpaka ushindwe kujiamini kwa kiasi kikubwa hivi? Licha ya mafanikio...
  15. Ila Bongo Flava bwana part 1

    Kwanini Bongo Flava Ni Ngumu Kufika Mbali Kama Afrobeats, Amapiano au AfroHouse Tusipoteze muda twende kwenye points * WAANDJI (Producers) Hawa jamaa wamekosa ubunifu. Wanasubiri dunia ilete style mpya wao ndo waje kufanya blending kwneye Bongoflva. Wakati mwingine hawafanyi blending wanakopy...
  16. Nafikiri hizi nyimbo 20 za Bongo Flava ndizo bora kwa muda wote

    BONG FLAVA YA KUIMBA TOFAUTI NA RAP 20: Ali Kiba - Mwana 19: Diamond - Mbagala 18: Dully Sykes - Dhahabu 17: JI - Kidato Kimoja 16: 2 Berries - Na Wewe Tu 15: Dully Sykes - Dhahabu 14: Z. Anto - Binti Kiziwi 13: Marlaw - Bembeleza 12: Q chief - Si ulinikataa 11: Mr Nice - Fagilia 10...
  17. Wasanii wa kiume wenye macho ya kuvutia Tanzania

    Macho yanavutia sana. Kupitia macho waweza kuchungulia roho ya mtu, baadhi ya vigezo vinavyofanya macho kuwa yenye mvuto ni; kuwa na umbo la Uduara wenye uwiano, kuchomoza nje ya sura, na kuchukua nafasi zaidi ya asilimia hamsini ya Sura. Nimeweza kutazama kazi za sanaa za uimbaji na kubaini...
  18. Tushirikishane Beats (instrumentals) za Bongo Flava

    Habari zenu wanajukwaa? Hii ni kwa wale wapenzi wanaopenda kusikiliza beats mbalimbali za ngoma kali.. Beats nyingi ambazo zipo mtandaoni ni za ngoma za nje ya Tanzania tu, Za TZ ni chache sana japo kuna ngoma kali zinatengenezwa bongo na zina beats kali sana Hivyo basi, Kwa wake wapenzi wa...
  19. Matonya alivunja katiba ya bongo flava, hakushitakiwa

    Masterplan ya Tanga kuitawala Bongo Flava, ilianza kwa kutambulisha silaha yao ya maangamizi "Matonya", ambaye kinyonge, alilia “Uaminifu” akimshirikisha Bwana Misosi. Jamhuri yote ya Bongo Flava ilisaluti talanta ya Matonya. Halafu akapotea masikioni mwa watu. Tanga ikachekwa kuwa...
  20. Hizi hapa ngoma 20 kali za Bongo Flava kutoka 2013-23

    Miaka 10 iliyopita ndiyo tulipata ladha halisi ya muziki wa Bongo Flava, zipo nyimbo nyingi sana kali zilizotoka ila hizi 20 naamini zilifanya vizuri kwa wakati wake kwa kuzingatia uandishi & midundo. Hii list haipo kwa mpangilio, ngoma zote 20 zinaweza kuwa namba 1. Darassa - Muziki (feat...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…