Kwa ufupi huko zamani enzi za uzee wangu sikuwa kabisa mpenzi wala mtu wa mziki kabisa. Lakini mwaka 2009 au 2011 hivi ndipo nilipoanza kufuatilia na kuupenda mziki lakini, hayo yote yalikuja baada ya kusikia mziki mmoja mkubwa sana kwenye moja ya daladala iliyokuwa ikipita pembeni yangu na...
Salaaam wakuu,
Nimekuwa nikisikiliza mziki wa bongo flava kuanzia enzi za takeu ikaja kiduku, ikaja ngololo hadi kufikia mpelekee moto.
Ukweli ni kwamba hapo nyuma walianza vizuri kwa upande wa hiphop kina niger j na Mr.2 wakatengeneza njia wakaandika mashairi ya kuelimisha jamii na wengine...
Huyu mwamba ni habari nyingine mazeee
Ana mistari matata sana, kwenye hii sanaaa
Leo nagusia sehemu ndogo sana ya mistari yake kwenye track mpya ya pamoja kutoka weusi (mbuppu)
Pia nitaonyesha uhusiano wa michano yake na jigga
Daah huyu jamaa anajua ukiachilia flow hatari haijawahi tokea...
Mfano
Sweete reggae --Busy signal-come over
Hip hop--coolio-i see you when u get tgere
Singeli---msaga sumu-mwanaume mashine
Country-kenny rogers-gamble
Rnb-chris brown-with you
Morden Taarabu--jahazi-najiamin
....
....
.....
.....
....
Tuendeleee
Huyu jamaa alikuwa ni bonge sio sana sema ana mwili wa kibabe fulani.Alitamba sana miaka ya 2000s
Nakumbuka alishawahi kuwa ngoma inazungumzia kuwa anawapenda mademu wasiopenda chapaa na kitu kinachonifanya niikumbuke ile video ndani kulikuwa na muigiza wa kike enzi hizo:Sandra
Sasa ningependa...
Habari comrades.
Conflict of interest ni tukio ambolo taasisi ya jamii inapotumiwa kwa manufaa binafsi ya mwajiriwa wake. Kwenye hii mada taasisi ya jamii nayolenga ni kituo cha Radio Clouds FM na mwajiriwa wake anayeleta shida ni B Dozen al maruufu B Twangala, Hamisi Mandi na mengineyo. Hichi...
WASANII WA BONGO HARMONIZE NA VANESSA KATIKA DILEMMA KUBWA.
Mambo vipi wanajamii,
Kuna choice nyingi sana mtu waweza kufanya pasipo pata wasiwasi wowote juu ya maamuzi yako, Lakini kuna mara unakuta unamachaguo mawili yote yenye kuwiana ulazima wake apo sasa ndipo dilemma anazaliwa. Nimekuwa...
Habarini zenu.
Msanii Ali Kiba anatarajia kudondosha nyimbo yake mpya inayokwenda kwa jina la HELA itakayo anguka muda wowote kuanzia sasa
Huko mitandao ya kijamii imefulika na kuwa na shauku kubwa juu ya ujio wa ngoma hiyo baada ya kimya cha muda mrefu tangu alipo achia ngoma yake ya mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.