Wasaniii wa Bongofleva Madee, AY na Chege (Samia Kings) wameshiriki kwenye shangwe za mapokezi ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Mkata Mkoani Tanga ambako anaanza ziara ya kikazi leo.
Soma Pia:
Ziara ya Kikazi ya Rais Samia Mkoani Tanga Februari 23, 2025
Wasanii Ay, Madee na Chege...
Mimi huwa niko na kawaida ya kutengeneza playlist tofauti tofauti na kuzisikiliza wakati naendelea na kazi zangu (huwa napata utulivu wa kubaki kwenye jambo moja kwa wakati huo, kwasababu kichwa changu huwa kina shida ya kufungua mafile mengi kwa wakati mmoja hasa kikiwa kwenye utulivu wa...
Kuna Maneno matamu sana kwenye huu wimbo.
Ni wimbo wa mapenzi unaomsifia Mwanamke Mzuri mwenyenmaisha mazuri sana kwao. Ktk Verse ya Mwimbaji anasema hivi.
".......Kwao kila kitu stock, Beef Cow Kitimoto Pork......"
Huwa inanikumbusha mbali sana, kipindi twaandika mwaka katikati kuna double zero. Na cha ajabu sikua namjua msanii na bahati mbaya kumbe alisha fariki. This is not a beat this is memory.
LADY JAY DEE NDANI YA BONGO FLEVA HONOURS USIKU HUU...
Kuanzia ‘siku hazigandi’ hadi ‘ndindindi’, kupita kwenye ‘wangu’ hadi ‘mambo matano’ hizo ni baadhi tu ya nyimbo kutoka kwenye collection ya Malkia wa Bongofleva, Dada mwenye ukuu wake kwenye dunia ya Bongofleva Lady JayDee ambaye leo...
TANZIA: MH: TEMBA AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI.
Msanii mkongwe kwenye kiwanda cha Bongo Flava katika miondoko ya Rap na member wa kundi la muziki la TMK WANAUME FAMILY, Mh. Temba amefiwa na mama yake mzazi mchana wa leo Oktoba 25, taarifa ambayo imethibitishwa na Temba mwenyewe kupitia ukurasa wake...
WAASISI WA MUZIKI WA RAP " HIP HOP TANZANIA"
Fresh X E - jina halisi ni Edward Mtui na
ndiye hasa mwanzilishi wa kurap kwa Kiswahili katika miaka ya 1980 na alikuwa
akiimba wimbo wake kwa kiitikio cha "Piga Makofi" ambao aliubadilisha wa Run-D.M.C. Clap Your Hands, lakini hajaurekodi.
Kwa...
Kila mwanaume ana vigezo maalum au sifa anazozitazamia kwa mwanamke ambaye angependa kuwa naye kwenye ndoa, na mara nyingi tabia hizi zinakuwa ni msingi muhimu kabla ya kuingia kwenye mahusiano. Msanii wa muziki wa Hip Hop, Rashidi Abdallah, maarufu kama Chidi Benz, amefunguka kuhusu aina ya...
Legend wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed maarufu TID, amefunguka kuhusu majuto aliyoyapata akiwa msanii. Akizungumza kwenye mahojiano na My Reply Show, TID ameeleza kwamba kitendo cha baadhi ya vituo vya Redio kuzuia kucheza nyimbo zake kwa zaidi ya miaka mitano na kukosa matamasha yao amekiri kuwa...
KUMBUKIZI YA WASANII MKOANI KIGOMA.
Cliton Revocatus Chipando a.k.a Baba Levo wa kwanza kutoka kushoto enzi za ubarobaro wake, picha ya kwanza akiwa kijana mdogo kabisa, picha inayofuata akiwa kwenye show na kundi lake la OBD & GAZ akiwemo Kijukuu Zero Sifuriii ooh, huyu Kijukuu Zero Sifuri...
HARAKATI KAMILI ZA MACK DIZZO & UGLY FACES KWENYE GAME YA BONGO FLEVA KABLA YA CHID BENZ KUITAWALA "ILALA"
kiukweli mimi kama mack dizzo ni mtoto wa ilala pure kabisa...
Harakati na mishe zangu zote nimefanyia ilala since way back in 1990s..
" kwa kifupi ilala ndio my home street "...
BONGO MOVIES & BONGO FLEVA COMPINATION
KATIKA JUHUDI YA KUINUA NA KUENDELEZA SANAA NCHINI TANZANIA
Kumekuwepo na mabadiliko makubwa sana katika Tasnia hii ya Muziki wa Bongo fleva, maana wasanii wengi wa Bongo movie kwa sasa nao kwa namna moja ama nyingine wamejiingiza/ wamejikita zaidi kwenye...
Baadhi ya nyimbo zinakuwa zina capture moments...yaani nyakati Fulani hivi ...na mood ya Taifa au ya walio Wengi wakati huo...
1. Nipe Tano - Daz nundaz..
Huu Wimbo unawakilisha nyakati ..kama birth hivi ...ndo kwanza Taifa linapata TV special Kwa bongo flava na vijana ...Nani angejua channel 5...
Complex na Vivian walikuwa wasanii maarufu wa muziki wa kizazi kipya nchini Tanzania. Kifo chao kilikuwa na athari kubwa katika tasnia ya muziki nchini. Walifariki kwa ajali ya gari tarehe 21 Agosti 2005, wakati wakiwa safarini kuelekea kwenye shoo. Ajali hiyo ilileta huzuni kubwa kwa mashabiki...
Kampuni ya Home Box Office (HBO) ya Marekani kuwalipa wasanii, Soggy Doggy na Dataz, kiasi cha Tsh Milioni 700 kwa kutumia wimbo wao "Sikutaki Tena" katika filamu ya "Sometimes In April" bila makubaliano.
Hukumu hii imetolewa Julai 26, 2024, katika Mahakama Kuu ya Tanzania, kanda ya Dar es...
Habarini wakuu,
Kuna ule wimbo wa Rayvanny "Unaibiwa" yaani huu wimbo unarelate sana mambo ya mahusiano na kudate kwa sasa.
"Unadhani niwapeke ako
Kumbe wengine wameshaweka kambi
Kakupendea macho
Wapo wengine kawapendea rangi
'Ye ni gari la dampo
Hachagui taka dereva mpe ganji
Wakubadili...
Hivi watu wanakumbuka mchango wa huyu mwamba katika Entertainer ya bongo flavor au ndio kila mtu ale urefu wa kamba yake?! 😂
Wanamuita Lucas Mkenda au “Mr Nice”
#Legendary
Hali ya Msanii wa Hiphop Rashidi Makwilo (Chidibenz) inasikitisha sana sana, Siku za hivi karibuni amekua akiishi Msasani (Maandazi road) maskani moja na mateja, Kinachonisikitisha zaidi jamaa anaonekana hayuko sawa kiafya miguu imevimba, anaonekana aliumia na hajapona vizuri,miguu ameifunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.