Ndugu zangu mafanikio hayakufuati ukiwa umeketi nyumbani kwako, lahasha, ni lazima uyafuate tena kwa juhudi ya hali ya juu.
Star wa bongo fleva Diamond Platnumz ni miongoni mwa vijana wapambanaji, miezi kadhaa nyuma kijana huyu mpambnaji alifunga safari kwenda nchini Marekani, huku lengo kuu...
Mdororo au anguko la HopHop Tz!?
Kuna msemo wa waingereza wanasema,"kimya cha marafiki zangu kinanighasi zaidi ya kelele za maadui zangu".
Familia ya wanaHip Hop Tz kwa sasa wamepoa sana,wapo kimya sana kiasi kwa sisi mashabiki ni bonge la ghasia,binafsi inaniudhi.
Angalia mfano huu,juzi juzi...
Katika maeneo yote duniani, kuna watu ambao wanafanya kazi kubwa nyuma ya wahusika wakuu wa tasnia fulani na kuwa nguo kubwa ya mafanikio. Hawa kwa lugha ya Kiingereza wanaitwa 'masterminders'. Ni watu ambao wanafanya kazi kubwa sana kusongesha gurudumu la tasnia husika.
Tukija kwenye tasnia ya...
Chidy benzi amesema nusu ya wasanii wa Bongo wa kiume wanalika akimaanisha kwamba ni "mashoga"
Chidy benz angetaja list kabisa
Video hii hapa👇🏻
https://www.facebook.com/ISHEBOO/videos/1154680399214487/?app=fbl
Msanii Mkubwa Bongo Fleva atabiriwa kifo na Wachungaji kutoka Kenya na Zimbambwe
Sasa shughuli inabaki kwetu kama sio Ally bhasi ni Nasibu, maana ndiyo sifa walizotajwa nazo.
Nawatakiwa Asubuhi Njema
bongobongofleva
diamond
diamond platinumz
kabla
kifo
kutoka
mashuhuri
mkubwa
msanii
mtumishi wa mungu
mungu
mwaka
mwanamuziki
nchi mbalimbali
nyota
tanzania
wachungaji
wawili
Ningependa kupata taarifa za makundi ya bongo fleva.... Yaliundwa na wasanii gani, yalianzishwa mwaka gani, na walitoa ngoma gani na pia kupata picha zao
1: Living with Purpose (LWP)
2: Big Dog Pose (BDP)
3: Waswahili by Nature
4: Manzese Crew
5: Wandago
6: Wateule
7: Watengwa
8: Daz Nundaz
9...
1. DIAMOND PLATNUMZ - CEO wa wasafi fm na tv + label, msanii pekee mwenye msururu wa ndinga za kwenda mbele
2. MR NICE - Ni Diamond pekee ndie alieweza kumfikia ukwasi akiwa peak, miaka hio ya 2003 inasemekana alikuwa anamiliki ukwasi wa bilioni 1 ya enzi hizo
3. AY - Mzee wa commercial...
RICHARD TUNDA:KIFAA TOKA TIP TOP CONNECTION, AMEFARIKI DUNIA NI MDOGO WA MKALI WA BONGO FLEVA TUNDAMAN..
JINA: Richard Ramadhan Tunda
KUZALIWA: Februari 3, 1989 (Miaka 35)
ALIPOZALIWA: Kinondoni, Dar es Salaam..
KIFO : 16 Februari 2024.
SANAA: Muziki wa Bongo Fleva..
HISTORIA YA MAREHEMU...
Wanajamii,
Kwa darubini kali niliyonayo nimechungulia yanayoweza kujiri siku za usoni kwenye penzi jipya hapa mujini, penzi kati ya Harmonizer na mwanadada Posho Queen. Nachoweza kusema faster ni kwamba mwamba aende kwa tahadhari sana kwani kuna mashimo mengine ukiingiza kichwa chini unakuta...
Wakuu mambo vipi ?
Kutokana na maoni ya mashabiki wengi wa huu muziki wetu pendwa wa bongo fleva kwamba muziki wa Sasa hauna ladha kama muziki wa zamani ,
Je nini kifanyike? Tufanye kama zamani au vipi?
Na generation ya sasa hivi wanasemaje kuhusu muziki wetu wa Sasa tuendelee nao au kama...
Kuna kipindi yaliwahi kutokea maneno kwamba Tanzania tunaitafuta sound yetu, kwamba ngoma ikipigwa tu unajua hii ni Bongo, Tanzania.
Nimepata muda usiku huu kwenda YouTube kuziona trends, guys I'm sorry to say that what is trending down there isn't ours, it's South Africans' Amapiano.
Na...
Umuofia kwenu wana JF,
Msanii wa Bongo fleva aliyetikisa kanda ya Ziwa G RICO amefariki dunia leo ,G Rico alitamba na nyimbo kama Pole ya moyo, kesho etc. Poleni ndugu, jamaa na marafiki.
Wiki iliyoisha kulikuwa na kifo cha DJ Steve B ambaye alikuwa na jina kubwa sana katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya (bongo fleva) mwanzoni mwa miaka ya 2000.
Leo nimeona tuwakumbuke wanamuziki wa bongo fleva ambao wamefariki. Hii itasaidia pia kujua baadhi ya wana muziki wa bongo fleva...
Dj Mars
Dj Venture
Dj Skills
Dj D White
Dj Juice
Dj Nelly
Dj Kessy
Dj Muli Bring Bring
Dj Majizo
Di Sam
Dj Cutter
Dj Jongo
Dj D7
Ongezea wengne ambao walikuwa bora kuliko hawa kina AllyB
Binafsi nimekuwa mfuatiliaji wa nyimbo za bongo fleva haswa kwa upande wa R&B, na nimejiridhisha kwamba toka uanzishwaji wake ulipoanzia miaka zaidi ya 25 iliyopita, hadi leo hii hakuna msanii wa kike mwenye kipaji cha uimbaji, utungaji na ufikishaji ujumbe maridhawa wa nyimbo zake kama Lady...
Mwanamke anayefahamika kwa jina la Blandinda Fredi Mkazi wa Kijiji cha Ilkrevi Kata ya Olturoto Wilayani Arumeru Mkoani Arusha anatuhumiwa kumuua Erick Adam ambaye ni Msanii wa Bongofleva na Mfanyakazi wa kiwanda cha mikate chanzo kikidaiwa kuwa ni kudaiana pesa ya LUKU (umeme).
Mashuhuda wa...
Not naongelea bongo fleva upande wa kuimba
Hizi ndio album bora 25 za miaka 23
1.Tid-sauti ya dhahabu-2001
2.Alikiba-cinderella-2007
3. Lady jay dee - Binti 2003
4. Bushoke -Barua 2004
5.Mb dogg- Si uliniambia 2006
6.Marlaw -Bembeleza 2007
7.Diamond- Kamwambie 2010
8. prince Dully sykes...
Habari,
Weekend iliyopita nilikuwa naangalia tuzo za TMA yaani Tanzania Musics Awards na kuona vipengele tajwa hapo juu. Sasa bado sijaelewa tofauti zake. Mwenye kuelewa naomba anijuze.
Treyzah ni msanii wa muziki wa kisasa ambaye ameweza kuweka alama yake katika anga la muziki wa Afrika Mashariki. Kupitia sauti yake iliyoshiba, mashairi yake yenye maana na usanii wake wa kipekee, ameweza kujipatia mashabiki wengi na umaarufu mkubwa.
Muziki wa Treyzah unatia moyo na kujenga...
Kizuri chajiuza, kibaya chajitangaza, bwana mdogo amepiga kazi kubwa zinazojiuza zenyewe bila mwenyewe kutumia nguvu kuuubwa.
Ukiachana na "Single Again" inayotamba bara zima la Afrika kwa sasa, hii playlist yake hapa chini itakufanya usuuzike moyo:
1. Single Again
2. Wote
3. Leave Me Alone ft...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.